KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 18,896
- 36,213
Habari za jumapili ndugu zangu.....
Hakika kichwa cha habari kinashangaza kama sio kustaajabisha.....kinashangaza kwa kuwa hilo tatizo limefanywa kuwa kama ugonjwa wa taifa kana kwamba ngono ni moja ya vipaumbele vya taifa hili......wajasiliamali wanapata faida kwa kuuza dawa zinadaiwa kuongeza nguvu za kiume.....lakini kiukweli hakuna upungufu wa nguvu za kiume bali kuna wanaume mahanithi tu.....
Ninaposema hanithi maana yake ni yule ambaye hawezi kabisa kusimamisa uume wake....
Kimsingi ni kuwa tendo la ngono....ni tendo linalojumuisha mambo mengi mno ili kufikia tamati na kilele chake.....vitu hivi vitatu ndiyo nguzo kuu ya kufanikisha tendo la ngono kama vikiwa katika usawa....
1) Utayari wa akili
Ili uweze kulifurahia tendo la ngono ni lazima akili ishabihiane na tukio hilo kwa muda huo.....yaani namaanisha kuwa ubongo wako usishughulike na kitu kingine chochote kwenye mwili wako zaidi ya jambo hilo.....na hapa ndipo kwenye tatizo kuu la watu kushindwa kufanya ngono kwa kiwango kinachotakiwa......miili yetu kupitia ubongo....inatambua kuwa inatakiwa ifanye nini na kwa wakati gani....
Ubongo wako unatambua ni kiwango gani cha damu kinatakiwa kwenye uume wako ili uwe imara muda wote wa tendo.....
Ubongo wako unatambua mwili wako unahitaji nini ili kuwa imara muda wote wakati wa tendo....kwa kifupi ubongo wako unatambua mahitaji yako kwa wakati huo...kama kwa muda huo utauelekeza kufanya hivyo.....
Mtu anayeenda kufanya ngono na changudoa anaweza kufanya tendo kwa uimara kwa muda wote kwa kuwa tangu anatoka kwake hilo jambo kwa asilimia kubwa lilikuwa akilini mwake....kwa hiyo ubongo tayari ulishauweka mwili tayari kwa tukio hilo muda wowote kuanzia mhusika alipowaza tendo hilo......
Kwa kifupi tendo la ngono linataka CONCENTRATION ya hali ya juu.....
2) Utayari wa mwili.......
Utayari wa mwili kikubwa unajumuisha usafi wa mwili.....mwili unapokuwa na nadhifu na kuandaliwa kwa ajili ya tendo humfanya mtendaji asisimke zaidi...na hivyo kuboresha tendo......
Vile vile kila mtu ana kasoro yake au dosari yake kwenye mwili wake....lakini shida inakuwa pale unapokazia fikra sana juu ya dosari au kasoro ya mwili ya mwenzi wako.....hii hupelekea kupunguza umakini wa akili kwenye tendo na matokeo yake ubongo kupunguza mahitaji ya kwenye tendo hilo na hatimaye kushuka kiwango....na uume kusinyaa kabisa.....na kushindwa kuendelea na tendo.....
Kuna wapenzi wetu wana kasoro kwenye miili yao kama vile harufu mbaya ya majasho yao....harufu mbaya kwenye vinywa vyao au hata wakati mwingine harufu mbaya hutokea sehemu za siri....lakini tunapokosea ni kuwa huwa hatuwambii wahusika...kwani wakati mwingine matatizo hayo huwa yanarekebishika...na kuendelea kulifurahia tendo......kumbuka kuwa tendo la ngono linataka concentration ya hali juu........
3) Mlo uliokamilika.....
Ili mwili ufanye kazi yake unahitaji virutubisho yake.....na kwa kuwa ngono ni tendo linalohusisha mwili na akili basi na lenyewe pia linahitaji virutubisho vyake na kuongeza ufanisi wa tendo.....
Kabla ya kulalamika kuwa una upungufu wa nguvu za kiume kwanza jichunguze mlo wako na vitu nilivyotaja hapo juu.....
NB; Zipo sababu nyingi sana.....lakini hizo tajwa hapo juu ndio sababu kuu zinazoathiri watu wa makundi yote kwenye jamii......
Muwe na jumapili njema.....