Mwanamke unajijua upo period, unafuata nini kwa mpenzi wako?

mzibua chemba

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
476
412
Hawa viumbe kwa kweli wanaukakasi sana au niseme tuu sijui ni laana au laa hivi kiukweli una dem na umemmis sana mnakubaliana muonane mfanye yenu alafu anakuja mnakaa mnakunywa mnafurahia mnachukua hotel uku mwanaume upo hot mbaya mnafika ndani alafu anakuambia yupo kwenye siku zake... Hivi hapa unategemea nini jamani kama siyo kuumizana tuu? Hii kitu imenitokea imeniuma sana na siyo mara moja kwa kweli hivi ni kwa nini?
FB_IMG_1492242535408.jpg
 
Kwani nani alikwambia kila unapoonana na girlfriend wako lazima kwichikwichi? Ukimchukulia mwanamke kama chombo cha starehe naye lazima atatafuta mbinu ya kukabiliana nawe ili mwende sawa... Hata ingekua mimi ndio huyo girlfriend wako ningekua nakwambia nipo period from january to december
 
Sasa huu itakua ni uuwaji
 
Hawa viumbe kwa kweli wanaukakasi sana au niseme tuu sijui ni laana au laa hivi kiukweli una dem na umemmis sana mnakubaliana muonane mfanye yenu alafu anakuja mnakaa mnakunywa mnafurahia mnachukua hotel uku mwanaume upo hot mbaya mnafika ndani alafu anakuambia yupo kwenye siku zake... Hivi hapa unategemea nini jamani kama siyo kuumizana tuu? Hii kitu imenitokea imeniuma sana na siyo mara moja kwa kweli hivi ni kwa nini? View attachment 496249
Brother kwanza ondoa tabia ya kukamia game
 
Back
Top Bottom