Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,223
Katika mahusiano kuna purukushani na kukoseana kwingi saana. Wanawake ni watu wa emotions akikereka lazima ujue while men tunaweza kuyaweka..kuyasahau na siku zikaenda. Ila Wanawake wanajua kununa na hata kudiriki kufika kukataa kuongea na wew, aidha tatizo liwe kubwa au dogo..ndivyo walivyo uwe umemjibu vibaya, kumtukana ndugu yake au kumkatalia maoni yake Yeye atanuna Tuu. Unapogundua umemkosea mpenzi wako.. usipanic na wewe...
Neno I'm sorry ni neno linaloweza kudumisha mahusiano yako na kuyafanya yawe ya kipekee pindi unapomkosea mpenzi wako.. romantically, tengeneza mazingira kisaikolojia, mfanye mpenzi wako atabasamu, ikiwezekana mpe kizawadi hata kidogo, mwangalie usoni, ikiwezekana mkumbatie kimahaba then say to her BABY I'M SORRY. Kama ni mwelewa na sio mtu wa ligi dakika sifuri tu analegea na mambo yanakuwa ok. Jifunze kusema I'm sorry mahusiano yako yatakuwa ya kipekee saana.
Note: neno hili litumike sehemu sahihi sio kila dakika tu I'm sorry baby, samahani honey.. mwanaume utashusha hadhi yako.
