Hongereni akina mama

Moneyowner

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,423
1,252
Hellow hellow, kama wewe ni mama au unatarajia kuwa mama nakupa hongera yako, ila wale mabishoo au wanaokula ujana piteni pembeni. jamani akianmama wanakazi ngumu nasema ni nguuumu tena saana ukiachiia kulea familia swala la uzazi ndo pekee ambalo nasema wacha wajigambe.

kwa waloshuhudia wataungana na mimi, ila wale wanaosema bado wapo wapo kwanza huenda wasielewe hata naongelea nini hapa, kubeba ujazito mpaka labour na kujifungua sio shuguli ndogo mhiii nouma sana ni zaidi ya ugonjwa akina mama hongereni kwa ujasiri huo pia poleni

Lakini pia sisi akina baba tunakuwaga na visingizio vya kutokujulia wagonjwa hali kisa ati majukumu(bread winner) mhii na wasiwasi huenda na kauoga kapo kwa ndani, mahosptalini akina mama ndo wamejaa si kupeleka chakula tu lakini pia hata kuwaonana kufariji wagonjwa, akina baba ni mmoja mmoja sana, ukitaka kuwaona wengi nenda mpirani au baa.

Eti wanawake wanatabia mbaya nani kasema? mi nasema hapana si kweli kabisa nasema tena hapaaana, imekaa ivi 'hakuna mwanamke mwenye tabia mbaya bila kuwepo mwanaume mwenye tabia mbaaya 'nahisi mmenielewa hapo, wanawake wengi wamevurugwa na wanaume aisee, ebu jiulize jitu linamtundika mtoto wa watu mimba afu halihudumii chochote, kukataa mimba au jingine ni li play boy tu akati KE yeye kashajua kapata mme, kwa ufupi wanawake ni wavumilivu sana na wakipenda wamenpenda,ni hayo tu akina mama kwa leo mna majukumu mazito sana hongererni na pole kozi baadhi ya ME hawajui haya.

My take:-Tuwaheshimu akina mama tafadhali.
 
Back
Top Bottom