255Gene
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 888
- 1,090
Habari wanaJF,
Wenzangu na heri ya pasaka japo nimechelewa kuwatakia heri,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Ni mjadala ambao nimekuwa nikiusikia mara kadha na kiukweli kwangu mimi imeshindwa kuingia akilini, nimeona nishare na nyie tuone mawazo yenu juu ya hili swala la kidume kusaidiwa kulipa mahari na mkewe mtarajiwa.
Nini haswa kinampelekea kulipiwa mahari?
Je kuna madhara yoyote kwa mwanaume kulipiwa mahari?