Hivi, huu utafiti umefanyiwa wapi? Na nani? Kwanini? Na ikiwa ni kweli, nani amehalalisha uwe mzinzi? Kwasababu sijaona mkizungumzia kuoa wanawake wengi, bali wazinzi wanazugumnzia kugegeda wanawake wengi. Mkishawapa mimba na kuwakimbia, watoto wasiowajua baba zao, vibaka hawaishi mtaani.
Kibaya zaidi, mnawalaghai watoto under 18 ndo mnawapa mimba, eti wanaume wachache. Huo ndo wema mnaowafanyia wanawake na dada zenu?
Maisha yakiwashinda wanajiuza ili wawalelee, nyie mnakuwa wa kwanza kuwasakama kwamba wanajiuza na wanapenda hela. Chanzo ni bathi ya wanaume wasiojielewa waliotawaliwa na tabia za kingono. Watu sasahivi tunazidiwa akili na wanyama. Badala ya kuwaza maisha, wanawaza ngono tu.
Atakaeguswa najua atanielewa vibaya, lakini ukweli ndo huo.