Ndugu zangu yamenikuta naomba mnisaidie

kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
701
753
Igweeeeeeeeeeee,


Ndugu wana jamvi Mimi nikijana ambae nasoma chuo Fulani hapa mjini dar es salaam na nimwalimu halimashuri Wa secondary halimashauri hapa Tanzania.

Naomba ushauri kwenu kwa sababu mnamo oktober mwaka 2015 nilikuja kuanza masomo yangu ya shahada ya kwanza na siku moja nikapata mwaliko Wa Kwenda kwenye sherehe ya harusi nakukutana na binti mmoja nae mwanachuo nakuanzisha mahusiano.


Ndugu zangu Mimi nimeondoka mkoani sijaoa na Wala sina mtoto .Tumeanzisha mahusiano Mimi nilikuwa naishi hostel yeye alikuwa kapanga chumba ikumbukwe ni vyuo tofauti.

Tumekaaaa mda mrefu ktk mahusiano mpaka January 2017 kodi yake ilikuwa imeisha tukaamua kuhama kutoka alipo pale na kuhamia sinza ambapo hapo mlipaji Wa kodi nilikuwa Mimi.Ambayo ni Tsh 150000 kwa mwenzoni alilipa laki 1.

Ndugu zangu baada yakulipa kodi ile yule binti aliniambia nitakuwa nakuja kulala pale Mara moja moja atakapo nihitaji.Nilimkatalia katakata nikamuwleza tutaishi wote hapo mwishoni mwa mazungumzo alikubali akasema sawa but usihame moja kwa moja hostel. kwa sababu siku moja moja utaenda kulala huko rafiki zangu wakija kunitembelea kwa sababu wanajua naishi mwenyewe nikasema sawa kiukweli toka nikae nae pale tangu January nimelala hostel Mara 4 tu pindi yeye alipokuja na marafiki zake.

Ndugu zangu nimeishi nae yeye chuoni kwao anaingia masomo ya jioni anatoka SAA tatu.Ndugu zangu toka niiishi nae kanifulia nguo zangu Mara 2 tu nakudai kuwa suruali zangu za kadeti ni ngumu hawez fua.Pia Mimi namuhudumia every thing isipokuwa silipi ada tu.

Ndugu huyu binti anaishi na kaka yake wazazi wake walishafariki but kaka ake ni mwajiriwa na anadada zake wanafanyakazi nilitegemea hata kuwa tegemez kwa kila kitu kwangu.

Wiki lililopita aliens a kwao Gongolamboto kwa ajili ya kula sikukuuu. Ndugu zangu siku ya pasaka yenyewe tumewasiliana vizuri nakudai kuniambia niwahi kurudi nyumbani.Tukio la jina lililotokea siwez amino macho yangu ameaga kwao anaenda kwake kumbe anaenda kwingine nimepiga cm hapokei nikampigia dada yake ndo kuniambia kaaga nyumban toka saaa1 kasoro anaenda kwake nikamuandikia SMS kumwambia unaofanya utoto akanijibu yupo nyumbani umeme umekata lakini Dada yake ndo hayupo nyumbani.Dada take nikampigia akanambia mimi siwez sema uongo hayupo nyumbani .Mnamo saaa 5 name dk 36 usiku akanipigia cm yule binti nakuomba msamaha alikuwa kwa rafiki yake Doreen sasa yupo nyumbani.Sijamjibu chochote zaidi yakumuambia pumbafu.

Ndugu zangu nimeishi na huyu mwanamke kikubwa anapenda nimpikie ingawa hua Niko ngangari nimemikia nikihesabu kam haizidi mara 10 toka January 15 mwaka huu
Ndugu zangu naombeni ushauri nifanyaje. juuu ya haya
 
Mwalimu mimi ushauri wangu ni

Halimashuri =Halmashauri

Halimashauri = Halmashauri

Jitahidi kujua maneno yanavyoandikwa ili kuepusha kuwafundisha tofauti wanafunzi wako.

Nakutakia kila la kheri, natumaini utaufanyia kazi ushauri wangu.
 
tatizo wanaume tunajifanya tunajua sana kupenda kumbu unaempenda anakuchora tu tatizo mnaingilia majukumu ya walezi na wazazi kitu cha kumnunulia binti ni kitu ambacho unajua kabisa mzazi au mlezi awezi kumnunulia mfano ni chupi maswala ya kupangishiana chumba ni vihelehele tu usikute ww ndio mchepuko sasa
 
Wanakuja subiri
kama kweli wewe ni mwanaume unajua kuchambua karanga na kokoto,huyo kahaba hakufai. Kwanza mienendo yake inaonesha wazi tu kuwa wewe ni kipozea chake cha ukali wa maisha. Kwa kifupi achana naye. Kuna siku atakuletea magonjwa yasiyitibika. Huna cha kupoteza. Kuna wanawake wengi kuliko wanaume hapa duniani.
 
Kwanza wewe unasoma bado, hizo hela unazoharibu ungeziweka bank ungemaliza chuo ukiwa na mtaji wa kutosha, au kama unataka mke ukawa na mahari kabisa.
Umetueleza hayo,ulivyohama hostel,ulitwambia?
Na je,ulijua kabla ya kuhama alikuwa analipiwa na nani?
Sasa ngoja ile kwako(japo hujatwambia umri wako),ulitakiwa uje huku kwanza ukaeleze na uombe ushauri kama utakuwa unalala huko au la.Sasa basi,
mi nakushauli urudi vijijini hukooooo,ukatafute bidada mmoja anaejitambua,uwe tu unalipa nauli ukizidiwa, ebu jaribu kumuomba elfu kumi tu,usipopewa ujue wewe unanunua vocha,wapo wengine wa kuhudumia.Wengine mnajisahau sana.
 
Mwalimu mimi ushauri wangu ni

Halimashuri =Halmashauri

Halimashauri = Halmashauri

Jitahidi kujua maneno yanavyoandikwa ili kuepusha kuwafundisha tofauti wanafunzi wako.

Nakutakia kila la kheri, natumaini utaufanyia kazi ushauri wangu.

hizi smartphone zinaboa kwa kucorrect maneno mengine ambayo sio sawa mf. anasema alienda kwao simu inasahihisha aliens a
 
Yaani pamoja na kuwa mashuhuri lakini jambo hilo lakushinda kweli...
Huyo sio wako tena, Jifunze kumwacha aende. Ukiona mtoto wa kike hataki kukufulia wala kukupikia jua hana mpango na wewe. Hiyo hela ya kodi ungempa mama yako tuu
 
Back
Top Bottom