Nina miaka 28 ninaweza kumuoa mwanamke mwenye miaka 27?

Kama unapenda ngono unaweza, kama unawaza mapenzi unaweza pia, ila kama unataka maisha achana nae......,

Jitahidi gap iwe kubwa kidogo minimum 5 yrs difference
Hivi hiki kigezo cha wanaotaka kuuona wawe na gap kubwa mantiki yake hua siielewi kwan kukiwa na gap dogo LA miaka shida iko WAP???? Au Kama mkilingana kabsa miaka shida nn???....na ukizingatia mnapendana....
 
Inasemekana mwanamke anawai kuzeeka,tofauti na mwanaume kiasi kwamba ukioa unaelingana nae yeye atawahi kufikia ukomo wa kutokufanya mapenzi wakt ww ukiwa na nguvu zako zote...ishu itakuja kila ukitaka akuridhishe inashindikana na kuweza kukufanya ww kuchepuka kutembea na vibinti
 
Lakini kuna jirani yetu mama alimzidi baba miaka 20, kijana alitoka tu chuo anaanza maisha alikutana na mama anamaisha yake, waliishi na kupata watoto, ingawa mama alikuwa na watoto wake wakubwa tu lakini walishaondoka nyumbani. Sielewi mume wa kwanza wa yule mama ilikuwaje nilikuwa bado mdogo.
 
Inasemekana mwanamke anawai kuzeeka,tofauti na mwanaume kiasi kwamba ukioa unaelingana nae yeye atawahi kufikia ukomo wa kutokufanya mapenzi wakt ww ukiwa na nguvu zako zote...ishu itakuja kila ukitaka akuridhishe inashindikana na kuweza kukufanya ww kuchepuka kutembea na vibinti
Kumbe inasemekana hauna uhakika???.....alafu me navyojua mwanamke matunzo tuu Kama hatunzwi lazma awah kuzeeka....ila Kama anatunzwa vizuri sidhani....
 
Wakisema watu ndo inasemekana mkuu,binafsi hyo pointi naiafiki asilimia 100,bibi yangu alizidiwa na babu miaka 7 lakin ukiwaona saiz bibi ndo mkubwa.....

Inshort refer kwa vizaz vya sasa kuanzia 2000 mpka leo wanavyopaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom