Hawa watoto wa kike, mmmh tuzaeni tu

Mashimba1

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
814
303
Habari za jumatatu ya pasaka wapendwa. Nilichokiona leo saa alfajiri, kimenifanya nifikilie hali itakuwaje kwa hawa mabinti zetu mwaka michache ijayo.
Hivi inakuwaje binti unatoka kwenu kwa kisingizio cha kufanya mazoezi wakati unaenda kupigwa shughuli tena kwenye miti iliyopo uwanjani bila haya. Kwa nini usababishe usumbufu kwa watu wengine? Guest hazipo siku hizi!? Au huyo boy wako hakuwa na hela za kuandea guest? Sasa si bora mgeliomba mchango wa guest tukawachangia!?
Kuweni wastaarabu bwana.
 
Back
Top Bottom