maisha sasa magumu sana Wanaume tujihadhari na madada poa.

Bernard bakari

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
407
781
Huyu Raisi tuliyenaye kafanya maisha yawe magumu sana mtaani pesa hazionekani, vyakula bei juu kama vile mchele, sukari na unga. Kutokana na Hali hiyo biashara ya dada poa imeshamira sana kwenye baa mbalimbali nchini.

Siku hizi mwanaume ukiwa bar usithubutu kumwangalia mhudumu atakuja kukunong'oneza kuwa vipi unamhitaji au la soko lao limedorora dorooo kila mwanaume akipata kijisenti kidogo anakimbiza nyumbani kula na familia yake.

Kutokana na ukata huo madada poa hutumia njia chafu kuwanasa wanaume ukiingia night club mwanamke kufunua nguo yake ili uone uchi wake siku hizi mambo ya kawaida, kibaya zaid hata bei za kuuza uchi inasemekana eti imeshuka.

Kutokana na ukata huo uwezekano wa madada hao kuambukiza magonjwa ya zinaa ni makubwa kwani hawana kuchagua tena wanamsikiliza mteja akisema nyama kwa nyama na akifikiria siku tatu hajapata mteja anakubari hapo magonjwa hayakwepeki.

Rai yangu kwa wanaume wenzangu naomba kwa kipindi hiki cha maisha kuwa ghari na kudorola kwa biashara ya dada poa tuwe macho wanatega vibaya, wanaenda nyama kwa nyama ili mradi siku zisonge tusipochukua hatua tutaangamia.
 
Mtaalamu kazini,ukifulia wewe wengine bado wamejaaa mapesaa,manjoro njoro in cheyo's voice.

Thread nzima unawananga madada poa na wahudumu wa bar. Vipi makaka poa wao ni sawa tu kuwashobokea na kuwachuna?mnawapenda sana ee

Kila siku wanawake hivi wanawake vile utadhan wamewashikia akili
 
Umeshaenda nyama kwa nyama mara ngapi tangu hali ya uchumi iwe ngumu? Tuanzie hapo kwanza.
 
Mtaalamu kazini,ukifulia wewe wengine bado wamejaaa mapesaa,manjoro njoro in cheyo's voice.

Thread nzima unawananga madada poa na wahudumu wa bar. Vipi makaka poa wao ni sawa tu kuwashobokea na kuwachuna?mnawapenda sana ee

Kila siku wanawake hivi wanawake vile utadhan wamewashikia akili
Siku hizi kweli bado makaka poa maana hata mwana FA aliimba Zali la mentali ilikuwa zamani si enzi hizi za magufuli
 
Mkuu nimekuelewa sana..umeongea bonge la point....Tuikimbie zinaa kipindi hiki, baki na mkeo inatosha.
 
Back
Top Bottom