No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Siku hizi tumekuwa kama wanaume wenzao wanafanya wanachotaka yaani hawatuogopi kabisa,heshima hakuna tunaishi kama kambare! Utampa huduma zote kula,kulala atavaa vizuri lakini bado kuna siku atakuita mpumbavu na mitusi kibao ukiwa mzembe anakupa za uso! Tumerogwa na nani sisi wanaume wa kizazi hiki....Tusaidiane jamani,mi mwenyewe nishachoka kuhonga ila nashindwa kuacha!