Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,166
Kwa mtazamo wangu huo haumaanishi kwamba wanawake walio juu ya umri huo hawana sifa ya kuolewa, hapana. Vijana mnatakiwa kuwa makini katika suala zima la kujenga mustakabali mzima wa familia.
Kwanza kabisa sisi wanaume ndio waoaji na sisi ndio tunaotafuta wanawake wa kuoa(hatutafutwi)hivyo linapokuja suala la kuanzisha familia ni mwanaume ndiye anayejua achague mwanamke yupi.
Suala la kupata mke anayefaa huwa linachukuliwa kwa uzito wake kwa kujua tabia ya mwanamke husika kabla ya kuangalia mambo mengine kama elimu, uwezo wa kifedha nk. Sasa katika umri wa miaka 18 hadi 23 ni rahisi kufahamu tabia ya mwanamke kwa sababu katika umri huo wengi hawana ile tabia ya ku-pretend kama njia ya kujionesha wanafaa kuolewa.
Katika umri huo ni rahisi kujua nini mwanamke anataka na nini hataki na ndio maana inajulikana katika umri huo mabinti wengi huwa na maringo kwa sababu ya kutokuwa na hisia za kuolewa kwa kuamini kwa sababu hisia zinawapeleka mbali na kuona kila mwanaume anayekutana naye si wa kiwango chake. Katika umri huo ndio rahisi na vile vile ni ngumu kumchagua mwanamke sahihi.
Wanawake wengi(baadhi yao)wanaozidi umri huo hapo juu wanakuwa ni mapretenders, wenye tabia za vinyonga wakificha tabia zao halisi ili tu wapate wanaume wa kuwaoa huku historia zao zikiwa chafu. Ukitazama mahusiano mengi yanayoanza na mwanamke akianzia hasa miaka 25+ yanakuwa hayadumu kwa sababu mwanaume anakuja kuona tabia halisi za mwanamke akiwa ndani ya mahusiano na sio kabla.
Muwe na siku njema.