Msuele
Member
- Dec 5, 2016
- 65
- 35
Habari za leo wakuu..
Nafikiri nyote mu wazima na mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku.
Leo nataka niwafahamishe nguvu au udhaifu wa nyota yako kupitia jina lako na la mamaako.
Kwa kawaida jina lako na la mamaako ndilo linalokutambulisha wewe ni nani, tabia zako na habari zako za mahusiano.
Ndio maana ni muhimu sana kulinda kutajataja ovyo jina la mamaako kwa watu. Watu wengi (haswa wachawi) hutumia jina la mama kufanikisha uchawi wao.
Nyota yako (ambayo tunaitambua kupitia jina lako na la mamaako) pia ina athari kubwa sana katika maisha yako ya kimapenzi/mahusiano na mwenza wako. Na kutokuijua elimu hii, na kutofuata ushauri wa elimu hii ya nyota kabla ya kuanzisha uhusiano na mtu au pengine kufunga ndoa kabisa, ndiko kunakofanya mahusiano mengi sana kukosa mwelekeo na kisha kuvunjika.
Ni lazima kuifahamu nyota ya mwenzio kabla ya kuamua kuwa awe mwandani wako. Ni muhimu mno ili kuepusha migogoro ya hapa na pale.
Kwa mfano kama wewe ni mwanaume na una nyota ambayo points zake ni chache kuliko nyota ya mpenzi wako, tegemea kuendeshwa sana na mwanamke wako katika mahusiano yako. Na hutakua na la kufanya kwa sababu udhaifu ni wa nyota yako.
Hivyo ni vizuri kuchagua mtu ambaye unaendana nae, au umemzidi kwa nyota ili mpate kuwa na uhusiano wenye furaha.
Naomba nitoe mfano halisi..
Mtu ambaye jina lake ni HATIBU na mfano tuseme jina la mamaake ni MWANAMVUA.. jina hili la mama tukilichukua na kujumlisha na wastani 'uliotakiwa' na kugawanya vilevile kwa wastani 'uliotakiwa' jibu la wastani ni 2.20.
Hii inaashiria huyu HATIBU ana nyota ya THAURY.
THAURY ni nyota ambayo ni Mushtara (inang'aa sana). Kwahiyo nyota hii inamfanya HATIBU aonekane mtanashati muda wote. Pia nyota hii inampa uwezo wa kuishi na mwanamke yeyote yule duniani amtakaye.
Pia nyota hii inang'aa katika masuala ya kazi na mengineyo mengi yaliyo mazuri.
Sasa kwa mfano huyu HATIBU awe na mahusiano na mwanamke anayeitwa AISHA ambaye mama yake kwa mfano atakiwa akiitwa ZULEIKHA, basi huyu ni mwanamke ambaye analingana nae kinyota ingawa yeye ana wastani mdogo kuliko HATIBU, kwani Aisha anakuwa na wastani wa 2.13 nyota yake hii inaitwa NISFU THAURY.
Kwahiyo HATIBU akimuoa AISHA, Kutakua na maelewano mazuri sana. Kwani Aisha atakuwa akimsikiliza kwa kila jambo na atakuwa na upendo wa dhati sana kwake.
Pia Aisha atakuwa na tabia ambazo zinamfurahisha. Aisha pia atamsaidia Hatibu katika kupata mafanikio ya juu sana kwa muda wote atakaodumu nae.
Ni muda mrefu sasa tunaona kwenye magazeti kuhusu NYOTA ZETU na kila siku unakua na hamu ya kujua nyota yako inakwambiaje leo.
Kiufupi hii ni elimu pana mno, lakini mimi nitachambua nyota yako kwa majina tu.
Swali ni je, kama umeshaoa mwanamke aliyekuzidi nyota, nini cha kufanya??! Jibu ni rahisi tu, nyota inaweza kuzimwa 'kitaalamu' na heshima ikatawala ndani ya nyumba.
Natoa ofa, nipe majina yako hapa au inbox nikujuze kuhusu nyota yako na maisha unayoishi na mwenza wako. Halafu utanambia kama nimekwambia uongo usisite kuniumbua hadharani.
Naomba kuwasilisha
Mawasiliano: 0712151063
Ahsante.