amiry123
Member
- Apr 25, 2017
- 7
- 13
Hamjambo wanajukwaa hili?
Nilikuwa nikipitapita wapi nitapata mpenzi; ndipo nimejikuta kutokea hapa JF (Love Connect) nikavutiwa napo naamini wengi waliopo hapa ni watu wasomi na waelewa pia wastaarabu tofaut na mitandao mingine!
Naitwa Amiry Samiry wa Arusha; nina umri wa miaka 29; ni mfanya biashara wa mazao ya chakula sokoni Kilombero!
Nipo hapa sasa kutafuta hitaji la moyo; mtu aliye serious mwenye kujitambua na aliye tayari kuwa mke tukifahamiana vizuri.
Vigezo vyangu ni;
(a) Uwe jijini Arusha; Singida; Babati au Moshi
(b) Ujitambue na uwe serious
(c) UWE NA UPENDO WA DHATI na ujue kupendwa
(d) Uwe huru kwenye mawasiliano yako
(e) Uwe pia huru kujieleza yaani usiwe muongo wala kuficha mambo muhimu
Phone no. 0785071973
NB: Sijaribu wala sitanii nipo serious naomba na wewe uwe serious tafadhali.
Naomba kukumbusha: Samahani sana kwa yeyote ambaye anaona hii post kama haimuhusu apite tuu na hapa mimi natafuta mpenzi/mchumba msichana/mwanamke na sio "mwanaume" najitambua na najua nachofanya na zaidi najiamini hivyo ninyi mnaokaa kusubiri nani kapost nini humu ili tu mumvunje moyo au mumpinge au kumkosoa kumuona mjinga ninyi ndio wajanja please piteni tu.
Maana nimesoma jumbe nyingi za watu humu ni nzuri na nyingine huenda kweli mtu analengo zuri tu ila utashangaa linatokea limtu huko linaanza kucomment kumpinga!
Jiheshimu; jitambue na kumbuka kila mmoja anauhuru wake na hatufanani hivyo usitaki mwenzio awe kama wewe ni ngumu.