Don't make her look stupid for loving you..

Tuwaseme

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
645
1,191
Ujumbe wangu kwenu Jumapili hii ni mfupi tu

Don't make her look stupid for loving you..

Just be Gentlemen, respect her feelins for u.

Usifanye mtoto wa watu aonekane kama mpuuzi mbele za watu kwa sababu anakupenda. Kama humpendi usimtongoze. Kama humpendi mwambie usicheze na hisia zake.
 
unadhani hilo janga liko kwa wanaume tu!!? hata wanawake tena kwa wingi kabisa wanachezea bahati kwa makusudi kabisa halafu baadae mtu anakuja anajiliza
Mwanaume/Mwanamke anaweza jua kabisa anapendwa na fulani, ila hayo mashauzi yake kama vile wana diamond-Gonads, Huwa nawaonea huruma
utakuta mtu anamnyambua kijana wa watu (ke/me) hadi unaona aibu wewe, rafiki yangu kwani unacheza GTA game kumuweka mtu umtakae? haya ni maisha halisi!
ANAYEKUPENDA MPENDE HUYO NDO FUNGU LAKO! hata kama kwa muda huo hujamridhi kadri muda unavyosongo ndivyo utakavyomzoea nawe kuanza kumpenda pia!
 
Ujumbe wangu kwenu Jumapili hii ni mfupi tu

Don't make her look stupid for loving you..

Just be Gentlemen, respect her feelins for u.

Usifanye mtoto wa watu aonekane kama mpuuzi mbele za watu kwa sababu anakupenda. Kama humpendi usimtongoze. Kama humpendi mwambie usicheze na hisia zake.
Nyie wanawake ndio waumizaji wakubwa sana,mnaweza kumfanya mwanaume afanye tendo ambalo hakutarajia maishani mwake,sijui unakumbuka ya Ufoo Saro wa itv?
 
Ujumbe wangu kwenu Jumapili hii ni mfupi tu

Don't make her look stupid for loving you..

Just be Gentlemen, respect her feelins for u.

Usifanye mtoto wa watu aonekane kama mpuuzi mbele za watu kwa sababu anakupenda. Kama humpendi usimtongoze. Kama humpendi mwambie usicheze na hisia zake.

Jamani, kweli kabisa
 
Back
Top Bottom