Mapenzi ya Jogoo ni ya kuigwa

Ryan The King

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
2,788
2,690
Mpo poa wakubwa.

Hakika katika viumbe wanaonivutia katika kufanya mapenzi ni Kuku. Jogoo ni jogoo tuu.

Wapo watu wanaomchukulia jogoo poa kwa kudhani anakojoa mapema lakini nataka nikwambie Jogoo ni hatari Sana.

Kama ukimuangalia jogoo anapotaka kumpanda jike. Lazima amuonyeshee ishara Kama anataka ngono. Kuku jike akishaona ishara hiyo ya jogoo basi huanza kukimbia mbio sio kwa lengo la kukataa bali kuvuta hisia za mapenzi.

Jogoo humkimbiza Mtetea kwa kitambo kidogo mpaka hisia za mapenzi za mtetea zitakapokuwa zimekaribia ndipo mtetea atalegea na jogoo atamdonoa katikati ya mgongo kuongeza nyege za Mtetea kisha atamdonoa Kichwani ili apate Stamina na kumlegeza kabisa Kuku jike.

Mchakato wote huu sio wa kubeza. Ni harakati ambazo Kama jogoo ataruka hatua moja basi kuku jike hataridhika.

Dalili kubwa ya Kuku jike kuridhika na tendo ni kushindwa kuamka Mara baada ya jogoo kutoka mgongoni. Kuku jike hulala kwa sekunde kadhaa kisha kuamka hiyo ni kiashiria kuwa amefika kilele.

Ikiwa mtetea ameweza kuamka hapo hapo basi ni wazi hakufika kileleni.

Wapo watu wanaomchukulia Jogoo Kama kiumbe dhaifu katika mapenzi jambo ambalo si kweli. Bila Shaka jogoo ni miongoni mwa viumbe vinavyoongoza kwa kufanya mapenzi hapa duniani. Kwa utafiti nilioufanya ni kuwa jogoo la kienyeji huweza kutembea na Majike zaidi ya Mara Mia moja kwa siku.

Mbio za jogoo anapomkimbiza Jike zinalinganishwa na mwanaume anayeweza kufanya mapenzi mwanamke. Hisia za kuku kwa ujumla zipo katika kukimbia hivyo kitendo cha jogoo kumpanda mtetea ni kwaajili ya kumwaga tuu.

CHAKUJIFUNZA;
Maandalizi katika mapenzi ni muhimu Sana kwani ukimuandaa vizuri mpenzi wako unaweza kuingiza tuu na kuchomoa mwanamke akamaliza hajazake.

Utafiti Usiorasmi.
Wafugaji wengine watanisaidia
 
Ujumbe maridhawa kabisa lakini umesahau kimoja;

Jogoo hamuhongi chochote mtetea iwe wadudu, chakula, au chochote. Bali Jogoo hujitafutia kivyake na mtetea naye hujitafutia kivyake.

SOMO:
Kila mtu ajitegemee anavyoweza. Mambo ya kuhonga ndo upewe mzigo yafikie tamati.
 
Ujumbe maridhawa kabisa lakini umesahau kimoja;

Jogoo hamuhongi chochote mtetea iwe wadudu, chakula, au chochote. Bali Jogoo hujitafutia kivyake na mtetea naye hujitafutia kivyake.

SOMO:
Kila mtu ajitegemee anavyoweza. Mambo ya kuhonga ndo upewe mzigo yafikie tamati.

Hiyo ya kuhonga nimekoma mkuu kuongelea.

Kuna wadada walifuata PM na kunipa onyo Kali Sana.
 
wewe muongo jogoo anawaitaga mitetea nakuhonga


Usijali Mummy Jogoo akipenda hulala hata njaa ila Mtetea akiwa ameshiba.

Ukimuangalia Jogoo huweza kumuita mtetea ili amuhongea lakini akija mtetea ambaye hajamkusudia humpiga kisha kuendelea kumuita yule aliyemkusudia.

Pia hupendelea kutembea na Mtetea mmoja ambaye anampenda hasa akiwa maeneo ya nyumbani.

Ikiwa Jogoo mwingine atampanda Mtetea ampendaye wakati yeye yupo basi hata Kama hamuwezi humkimbilia na kumparua akiwa mgongoni mwa mtetea ili asiruhusu jogoo huyo asimmwagia kipenzi chake
 
wewe sijui unaongelea jogoo wa nyumbani kwenu wachoyo kama wewe.... mtetea huitia watoto wake na jogoo huitia chakula majike na asiyemtaka anamfukuza
"Asiyemtaka anamfukuza"
Hiyo ndio point kwa Jogoo.

Wewe ni mfugaji halisi
 
Halafu baada ya hisia zote kupanda akichomeka tu sekunde sifuri wazungu haooo
 
Back
Top Bottom