Exclusive interview: Online dating(uchumba-ndoa)

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,647
75,837
Za muda huu wadau. Hope mpo Ok.
Karibuni katika interview. Kama mada ilivyo ni pana ila Tutajaribu kuangalia kwa ujumla ni kwa namna gani suala la online dating kwa context yetu ya kitanzania linavyochukuliwa na jamii hasa wazazi na daters wenyewe.

Interviewee kwa leo atakuwa Shunie. wadau wengine mtakaribishwa kuuliza maswali pale itapowezekana.
 
kujuana kupitia mtandaoni au kufahamiana
Heewaala, dunia siku hizi imejisogeza karibu saana...unaweza kufanya lolote kiganjani mwako na limojawapo ni hili la kufahamiana na watu au kuanzisha mahusiano mitandaoni.

Kwako hili suala la kuanzisha mahusiano mtandaoni ni sahihi? Yes/no. kwanini?
 
Back
Top Bottom