The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,905
- 19,106
Habari zenu wakubwa.
Huu ni ushauri wa bure, bure kabisa kwa wanaume wenzangu, huu ushauri nawamegea tu kwa kua nawajali, hata siku ikitokea nimekufa najua nyie ndio mtakaonizika.
Oeni wanawake wenye watoto ikiwa tu una mna uhakika kua baba wa mtoto amekufa na ikikwezekana utembelee kaburi lake kuhakikisha.
Oa mwanamke mwenye mtoto ikiwa tu una uhakika baba wa mtoto, hata kama hajafa ila huko aliko amepata ulemavu mkubwa usioweza kumshawishi mama wa mtoto akatoka nae siku moja.
Oa mwanamke mwenye mtoto ikiwa tu una uhakika baba wa mtoto kifedha na kihadhi unamzidi na haitakuja kutokea akakuzidi, wanawake siku zote hua hawarudi nyuma[no reverse, no going backward]. Namaanisha kwamba wanawake siku zote hua hawawezi kutoka na mwanaume ambae ana hadhi ya chini kuliko alienae kwa wakati huo.
Ikiwa utashindwa kati ya masharti hayo matatu basi jua umemuolea mwanaume mwenzako, siku yoyote tu akijisikia atapasha kiporo na kujilia atakavyo, ni sawa na kuweka juice kwenye friji, muda wowote unajinywea.
Naomba ieleweke kua sina nia wala dhamira ya kuwadhalilisha single moms, i respect women and i respect single moms, najua magumu wanayopitia to raise a family alone ila nilichokiandika ndivyo kilivyo.
Mwisho, Haya ni maoni yangu na mtazamo wangu binafsi, sio lazima yakufurahishe wewe.
Sharing is caring.