BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,040
Utafiti wa kisayansi uliofanywa na taasisi ya Animal Behavior umeonyesha kwamba mbwa wadogo madume wanapocheza na majike huwaacha majike wapate ushindi kwa makusudi, licha ya kwamba mbwa hao madume wana nguvu nyingi za mwili kuliko majike.
Utafiti huo umeonyesha kwamba sababu ya madume kuwapa ushindi wa bure majike ni kuwafanya majike hao waendelee kucheza nao kwa muda mrefu zaidi na wasisuse kucheza kwasababu wana uhakika wa kupata ushindi wakati wote.
Well, this is great.