juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kwa kawaida yangu mimi binafsi ninapomtongoza mwanamke huwa nakuwa nawaza jinsi nitakavyogegeda endapo atakubali. Nawaza mastyle nitakayokuwa namuweka nikiwa namgegeda na hii nadhani ni fikra za kila mwanaume na ndio maana mwanaume mwingine huwa mwamvuli unakunjuka anapokuwa anatongoza.
Sasa najiuliza swali, hawa wanawake wao wanawaza kitu gani hasa kwa mara ya kwanza anapotongozwa? Eti nyie wadada wa humu MMU huwa mnawaza nini kwa mara ya kwanza mwanaume anapokutongoza? Yaani huwa ni kitu gani hasa mnachofikiria kichwani endapo una lengo la kumkubali huyo mwanaume?
Yaani unawaza nini hasahasa? Msaada wenu ili na sisi tujue.