Play Gal ( Tina zoa zoa)

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
"...Jamani mi sijui utaratibu wa
hapa., naomba mnirudishie tu
huo mkoba wangu.."
Nikiwa bado naendelea
kulalamika pale uwanja wa
ndege,

mara akatokea mkaka mmoja mweupe aliyevalia sare za
hawa wafanyakazi wa ndege..
"..embu niambie tatizo nini dada
mbona unalalamika.."

"..Leo ndio mara yangu ya
kwanza kupanda ndege na wakati natoka Mwanza hawakunizuia
hivi, lakini nashangaa nimefika
hapa Dar eti wamezuia mkoba
wangu wanadai kuwa
hawaruhusu kusafiri na vipodozi
kwenye ndege..

Ni haki kweli jamani..?"
"..dada unaitwa nani..?"
"..enh, Tina.., sio hapa tu
'Precision Air' hata mashirika
mengine ya ndege huwa
hawaruhusu.." "..ok, lakini ndio nimeshafika Dar
sasa utanisaidiaje..?"

"..subiri kwanza hapo hapo
nakuja.." Aliondoka akaingia kwenye ofisi
zao na baada ya muda akarudi.. "..Unaruhusiwa kwenda.."
"..oh thanks., na vitu vyangu..?"
"..we nenda navyo tu nimeshaongea na mabosi.."

Nikachukuwa mikoba yangu
nakuondoka zangu ile natoka hatua tatu tu, "..Tina.? Tina..?"
yule mkaka akaniita..
"..Nimesahau kitu.."
Moyo ukaniripuka tena huku
nikibaki sijielewi elewi..

"..umesahau kitu gani tena kwangu..?"
Akaingiza mkono wake mfukoni
nakutoa kikaratasi kisha akanipa..
"..Business Card yangu hiyo..,
naitwa Jerry.."

Nilichukuwa nakuonesha tabasamu huku 'dimpozi' zangu
nikizilazimisha,
"..Hanijui kama chuo wananiita
Tina zoa zoa enh"
Nilijisemea kimoyo moyo huku
nikijiondokea mpaka hostel zetu za chuo pale 'chuo cha biashara'
CBE'.. ****

Usiku wote sikulala kwa raha
kwani nilikuwa namfikiria Jerry tu
jinsi alivyonisaidia pale uwanja wa
ndege, nilijikuta hata asubuhi
ilipofika sikuingia darasani zaidi ya
kujilalia tu kitandani huku nikichukuwa simu yangu
nakutuma meseji kwa Jerry..

'..morning Jerry..'
Haikuchukuwa muda akapiga
simu..
"..hallow.." "..yap mambo Jerry..?"
"..pouwa, naongea na nani..?"
"..otea, sauti ya nani hii..?"
Nilimtega kwa makusudi ili nijue
kama ni kicheche..

"..mmhh.. Sijui bwana niambie tu.."
"..aukey naitwa Tina.."
"..Tina.. Tina.. Tina yule wa jana
aliozuiliwa mkoba wa vipodozi..?"
"..Exactly..(sawa kabisa)"
"..Jerry..?" Niliita kisha nikakaa kimya huku
nisijue ntamwanzaje kwani
kiukweli nilishamtamani toka jana
na nilazima aujue mwili wangu na
hivi handsome tena mweupe...

"..mmh ningependa kujua una.." Kabla sijamalizia kumwambia
akaniwahi.."..Tina..? Sorry kunakazi imetokea
hapa fasta nitakupigia baada ya
muda.."Akakata simu.. "..hapa leo leo lazima kieleweke
na hivi toka nimetoka mwanza sija
sex na mwanaume..? Huu mshawasha wote lazima aumalize Jerry.."

Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiingia sehemu yakuandikia
meseji nakutaka kutuma meseji
lakini kabla sijatuma Jerry akawa
ananipigia..

"..tayari, haya ulikuwa
unasema..?" "..Natafuta kazi, ninaweza kupata
hapo..?" "..kazi.? Kazi gani unataka.."
"..i mean' nahitaji niwe mfanyakazi wako wa ndani
'housegal' na chochote utakacho nitatekeleza., au umeshaoa..?"
"..Tina.? Kumbe unavituko hivyo..? Mi sijaoa.."

Nikajikaza nakumtamkia huku
mshipa wa aibu nikiuweka
pembeni Tina mie.. "...ok, nimekumis japo nikuone
ukitoka ofisini.. Kwani unaish
wapi..?" Akanikatia simu.. "..shiit.., bado nitampata tu tena
leo leo lazima nimnyonye nanii yake mpaka nichoke.. Na
ntakavyomkatikia hadi atajuta mbona..."

Niliendelea kujipa moyo huku
nikiongea peke yangu nakuinuka
pale kitandani kisha nikabadili nguo....
Nilijitesa vya kutosha lakini bado sikuridhika,
nikampigia tena simu,

"..hallow..!"
"..yap Tina, nimebanwa tena hapa nashindwa hata
kuongea huku nafanyakazi, lakini usihofu nitakupigia baada ya muda.."
"..hapana mie sitaki bwana, kwanza niambie
tutaonana leo..?"

Nikaanza kumdekea kana kwamba ndo
ameshakuwa mpenzi wangu..
"..Leo nitawahi kutoka ofisini hivyo ondoa wasiwasi kabisa lazima tutaona.."
"...ok, kazi njema basi.."
"..pouwa baadaye.."

Niliinuka nakuelekea bafuni kwenda kujisafisha
vizuri na nilivyorudi nikawakuta wenzangu tayari
wameshatoka madarasani na kwa muda huu walikuwa wakikishangaa kikadi nilichopewa na Jerry..

"..Tina we nomaa, naona mambo yako makubwa
shosti.." Ilikuwa ni sauti ya Aisha rafiki yangu wa karibu,
"..mh nawewe aisha kwa kuchunguza mambo..?" "..kwahiyo toka umetoka huko Mwanza tumeanza
kufichana siyo..?"

"...Kipi cha kukuficha jamani huyo ni rafi.."
Kabla sijamalizia kumwambia Aisha mara simu
yangu ikaita, haraka haraka nikaangalia jina ni
Jerry.. "..yap, niambie Jerry..." "..mi ndio natoka ofisini nipo na gari tuonane
wapi..?"

Nikakaa kimya kama dakika 1 kisha nikamjibu..
"...njoo hadi chuoni hapa Cbe ukifika maeneo ya
hapa nipigie.." Nilikuwa namuelekeza huku muda wote huo Aisha
alikuwa akinishangaa,
"..Shosti naweza kwenda na mimi..?"

Aisha aliuliza nakunifanya nimuangalie kwa jicho la
dharau, kisha nikampa dongo kama kawaida yetu
yakutaniana.. "..nawewe..? Nawewe ukakatikie au ukanishikie
nanii yake.."

Ndani ya dakika kama 40 tayari mlio wa simu
yangu ulikuwa ukiita kuashiria kuwa Jerry
keshafika maeneo ya chuo, nikaipokea ile simu...
"...hallow Jerry.." "..sorry sana.."
"...Nimepigiwa simu,nahitajika kwa shangazi
kunamatatizo yametokea.."
"..unasemaje..?"
"..wala usihofu hakijaharibika kitu, kwani suala la
kuonana bado lipo pale pale.." Niliona kama ananizingua, nikamkatia simu, hasira

kali ilinishika huku nikiishiwa na pozi.
Nikarudi zangu mpaka rum kwangu nakuzivua zile
nguo kisha nikajitupia kitandani,
"...siyo mbaya, anabahati..? Yani leo? Mbona
angeisoma namba..?" Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiangalia namba
yake ya simu mara mbili mbili nakuifutilia kabisa..

Nilipomaliza kuifuta nikashangaa napigiwa simu na
namba ngeni tena ya airtel, nikaipokea fasta..
"..bila shaka nazungumza na Tina.."
"..yap, ndio mie nani mwenzangu.." "..mie ni mdogo wake na Jerry naitwa Nyemo, bro kanituma nije nikuchukuwe.."

"..kwani yeye yuko wapi na wewe uko wapi..?"
"..kaelekea kwa shangazi Temeke ila mie nipo hapa
chuoni Cbe nje kabisa.."

Furaha ilinijia upya kabisa na sikutaka hata kupoteza muda, nikaichukua nguo yangu ile ile nakuivaa, nikachukuwa na mkoba wangu
nikauwekea kanga na vipodozi nikatoka
nakujifanya kama naenda darasani kujisomea
kumbe naelekea nje kabisa, nilipotoka nikampigia
simu huyo mdogo wake.. "..enhe, upo upande gani..?"
"..nipo upande wa huku karibu na chuo cha DIT
nipo kwenye gari toyota Noah nyeusi namba T612
ATB.."

Kama nilivyoelekezwa wala sikukosea, ndani ya
dakika chache nilikuwa nje ya hiyo gari ya Noah, alikuwa amekwishaniona hivyo akanifungulia
mlango..
"..oh, Tina..?"
"..ndio mimi, mambo vipi..?"

Sikuamini kama Jerry atakuwa na mdogo wake
mzuri namna hii, tena shombe shombe mweupee.. "...Huyo Jerry anajifanya mtu wa mambo mengi
siyo..? Sasa namalizana na mdogo wake tena leo leo.."

Nilijisemea kimoyomoyo huku mawazo yakiwa
yamebadilika, pale pale kabla hajaliwasha gari
nikaanza kwa kumtega, nilipandisha kisketi changu mpaka nguo ya ndani ikaonekana,

Nyemo akanitolea macho mapaja yangu, nikayashika
maziwa yangu vizuri mpaka yakapanda juu kama
yanataka kutoka. Muda wote Nyemo alikuwa kazubaa tu..
"..Nyemo endesha gari twende..
Inaendelea...
 
Ilipoishia
... ...nikayashika maziwa yangu
vizuri mpaka yakapanda juu kama
yanataka kutoka.
Muda wote Nyemo alikuwa
kazubaa tu..
"..Nyemo endesha gari twende..
'
Endelea...
"..lakini si umeshajua tunaelekea wapi..?"
"...si unanipeleka alipo Jerry au..?"
"...mie Bro Jerry kaniambia nije nikuchukue kisha
nikupeke mpaka kwake, hivyo akitoka huko
Temeke atakukuta.."
"...ok, nimekuelewa Nyemo.." Baada ya hapo Nyemo aliwasha gari na safari
yakuelekea huko kwa Jerry ikaanza huku mie akili
ikinibadilika nakujikuta nikimtamani Nyemo njia
zote tulizopita.
"...Nyemo hizo ni nywele zako halisi.."
Nilikuwa mtu wa kumchokoza Nyemo njiani, kwani kiukweli nywele zake zilikuwa kama zimewekewa
dawa na ukichanganya na weupe aliokuwa nao
daah..
Ilituchukuwa kama nusu saa mpaka kufika
maeneo ya Msasani ambapo alikuwa akiishi Jerry..
"..Nyemo nikuulize kitu..?" "..uliza tu wala usihofu.."
"..embu niambie ukweli, Jerry kashaoa..?"
Nilimtega maksudi Nyemo kwa swali hilo baada ya
kuona jumba aliokuwa akiishi Jerry.
Nyemo alisita, akawa kama hajiamini amini jinsi ya
kunijibu hivyo akilini mwangu nikawa nimeshajua kuwa atakuwa keshaoa,
"..hata kama, mie namtaka mdogo wake tu
atanitosha.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimlegezea jicho
la kimahaba Nyemo kisha akashuka kunifungulia
mlango wa gari nakushuka kama vile mtoto wa mfalme au malkia..
Kulikuwa na geti ndani yake magari matatu. Masofa
ya kisasa, meza za vioo na vistuli vya vioo ndivyo
vilivyonichanganya kabisa, hakukuwa na
mfanyakazi wa ndani yeyote, nikiwa bado
nashangaa shangaa pale sebuleni ndipo macho yangu yakakutana moja kwa moja na fremu
kubwa ukutani,
"..Nyemo..? Huyu si kaka yako Jerry akiwa na
mkewe siku ya ndoa..?"
Nyemo hakuwa na chakunijibu zaidi yakubaki
nakigugumizi huku akinitolea macho natabasamu kwa mbali,
"...Nyemo..? Embu nionyeshe chooni wapi
nikajisaidie, nimebanwa na mkojo.."
Alinielekeza nikaingia japo lengo langu halikuwa
kwenda kujisaidia, niliofika chooni tu,
"..Nyemooo..!! Nyemooo...!!" Nilimwita Nyemo kwa makusudi ili aje chooni
nilipo, alikuja akagonga mlango wa choo
nilichokuwepo, niliufungua kiupande huku
nikitokeza kichwa kidogo,
"..samahani kwa kukusumbua Nyemo.."
"..usihofu bila samahani.." "..Kwenye mkoba wangu niliokuja nao kuna 'Pedi'
naomba ukaniletee.."
Nyemo alionesha kusita kisha akaenda kuniletea,
nilikuwa hata 'bleed' sijaanza ila ule ulikuwa ni
mtego tu kwa Nyemo..
"..Chukua hizi hapa.." Sikutaka kuzichukuwa kwa muda ule zaidi ya
kumshika Nyemo tisheti yake nakumvuta mpaka
akajikuta tupo naye chooni tena huku akihema juu
juu,
"...Nyemo usiniogope pliiz.."
"...mh hapana, Tina chukuwa 'pedi' zako, niache niende.."
Muda wote Nyemo alikuwa akiangalia kwa
pembeni huku akitaka kundoka..
"...Nyemo mie simtaki kaka yako kwanza anamke
na kashaoa..."
"..Tina hapana, hapana haiwezekani uwe namimi.." Nyemo alichoropoka na kunikiambia pale chooni..
"..hanijui kama naitwa Tina zoa zoa tena bila
uoga.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimfuata Nyemo
mpaka sebuleni alipokuwa tena nikiwa uchi wa
mnyama na mikononi nikizishikilia zile 'pedi'.. Nilipofika tu sebuleni nilimkuta Nyemo akiongea na
simu, sikuingiwa hata na woga kwani akili yangu
yote niliielekezea ni jinsi gani nitamkabili handsome
boy Nyemo..
Nilikuwa kama mtu aliyepigwa na butwaa kwa
kumshangaa Nyemo mpaka alipomaliza kuongea na simu..
"..Tina nilikuwa naongea na bro Jerry.."
"..enh anasemaje..?"
"..mie nilijua labda mnamahusiano yeyote..?"
"..si rafiki tu.."
"..kama ni rafiki basi kaa ukijua bro Jerry alikuwa Temeke kwa wakwe na siyo kwa shangazi, na
alikwenda kusuluhishwa na mke wake.."
"..enh kwa hiyo..? Lakini mie nakutaka wewe
Nyemo.."
"...embu vaa vinguo vyako na tena potea haraka
kwani bro Jerry yupo njiani anakuja na mke wake wasije wakakukuta hapa..."
"...yaani kwa kifupi tu leo hapa Nyemo sitoki
mpaka unipe ninachotaka.."
"..enh enh nini unachotaka kwangu we malaya..?"
"...hata unitukane vipi Nyemo mie nataka ni sex tu
na wewe nitaridhika.." Mwili wangu ulikuwa tayari wa moto huku nikijihisi
kutokwa na maji maji sehemu zangu za s**i..
Nilimwangukia Nyemo mpaka miguuni mwake
huku nikishikwa na kwikwi si yakiu ya maji wala
ya kulia bali ilikuwa ni kwikwi ya hamu ya kufanya
mapenzi kwani ninamuda mrefu sijafanya mapenzi na mwanaume na hii yote nikutokana nakubanwa
pindi ninaporudi likizo nyumbani kwa wazazi
wangu Mwanza..
"..Nyemo pliz uchukuwe mwili wangu.. pliiz
nakuomba uniridhishe.."
Nilimbembeleza mpaka nikamshuhudia Nyemo naye akilegeza macho kisha akanibusu shavuni
kupitia kitovuni mwangu, kisha akazilamba chuchu
zangu nakunifanya nisisimke mwili wote.
Nyemo alikuwa mtundu haswa waj kumlegeza
mwanamke kwani pamoja na u 'play gal' wangu
nijikuta sina ujanja kwa Nyemo. Akiwa ndio kwanza ananinyonya maeneo ya
shingoni mwangu ambapo ni hatari sana kwangu
kwani huwa najihisi nipo dunia nyingine kabisa,
mara tukasikia mlio wa honi ya gari kwa nje, pale
pale Nyemo akashtuka nakuvaa suruali na shati
lake haraka haraka huku akiniongelesha.. "..Bro Jerry huyoo.. Atakuwa mwenyewe tu..! Tena
anakuja na shemeji dah..!! Dah..!!"
"..sasa tutafanya...
Kabla sijamalizia kuongea nilishangaa Nyemo
akinibeba mpaka uani yalipopaki magari yakwao
kisha akafungua nyuma ya gari (boneti) kisha akanitupia mule ndani..
"..Nyemo na nguo zangu je..?"
Aliondoka haraka nakwenda kunichukulia kisha
akazitupia naku 'lock' mule nyuma ndani ya gari
(boneti),
"..nitakuja kukutoa baadaye.." Aliongea Nyemo huku akiniacha nikipumua kwa
shida... Nikasikia kwa mbaali sauti ya kufunguliwa kwa
geti kisha kilichofuata ni sauti ya Nyemo akiongea
na mtu, lakini kwa halmashauri yangu ya kichwa
niliweza kugundua itakuwa ni sauti ya kaka yake
Nyemo.
Baada ya muda mfupi sikuisikia tena ile sauti. Niliweza kuivumilia ile hali ya hewa mule ndani
japokuwa ilikuwa si nyingi sana. Haikuchukuwa
muda nikahisi kama gari inaondoka nikiwa bado
sijielewi elewi mara simu yangu ikaita kutoka
kwenye nguo zangu ambazo nilikuwa sijazivaa.
Nikaanza zoezi la kuitafuta tena kwa kuufuata mlio wa simu, nikaipata,
"..hallow.."
"..yap, Tina? Nyemo hapa anaongea.. Nipo ndani ya
gari hapa naendesha nataka nikurudishe chuo
kwa hiyo anza kuvaa nguo zako huko huko.."
"..unasemaje Nyemoo..? Embu nitoe huku mwenzio kuna giza sana halafu napumua kwa shida sana.."
"..Huko sikutoi na nakurudisha chuoni kwenu, vaa
nguo zako haraka haraka.."
"..kwa taarifa yako Nyemo hapa sivai chochote ni
bora unipeleke kwako tu..."
"..nadhani we utakuwa namatatizo ya akili, mie naishi na wazazi wangu.. sasa kama unajifanya
mbishi ngoja nikuoneshe.."
Hapo hapo Nyemo akanikatia simu..
Niliendelea kuzubaa ndani ya gari huku nikiwa
mbishi wakuvaa nguo zangu na nikiamini kwa
asilimia zote Nyemo atanipeleka tu hata kama ni ghetto ili mradi animalizie hii hamu niliyonayo kwa
muda mrefu sana.
Mara nikahisi gari imesimama, sijakaa sawa Nyemo
akanifungulia mule nyuma ya gari 'boneti'
"...haya nimekwambia vaa nguo zako utoke fasta
mpumbavu mkubwa wee.." "..sitoki.."
"..unasemaje we malaya..?"
"..sitoki mpaka unihakikishie kuwa unanipeleka
kwako.."
Nilipotoa tu kauli hiyo Nyemo alioneshwa
kuchukizwa nami, aliubamiza ule mlango nilioakuwamo kisha nikashangaa gari kutoka kwa
spidi kali.
Safari iliendelea, joto kali lililokuwa limeanza
kuniandama nilijkuta napiga ngumi ule mlango
kwa nguvu zote huku lengo langu kubwa likiwa
nikumfanya Nyemo atelekeze kile nilichokuwa Nakitaka. *** Mwendo wa taratibu niliouanza kuusikia, nilihisi
kama haitakuwa ni foleni basi itakuwa tunaingia
huko anaponipeleka Nyemo.
Kelele za watu zilioichochea zaidi hisia zangu, mara
gari ikasimama tena ule mlango wa nyuma
niliokuwamo ukafunguliwa giza lilikvwa limeshaanza kuzama na sikuelewa kabisa eneo
niliopo,
"...huyu hapa mtoeni, malaya mkubwa sana.."
"..niacheni, niachieeeni..."
Walikuwa ni vijana wa mtaani 'wahuni' ambapo
Nyemo alikuwa amewatumia wanitoe mule ndani ya gari,
Walinivuta kwa nguvu zote mpaka wakafanikiwa
kunitoa huku wakinitupia nguo zangu..
Watu walianza kujaa lile eneo lakini Tina mimi
sikuwa hata na mshipa wa aibu nikazivaa nguo
zangu kisha nikachukuwa kibegi changu, "...Nyemo..? Nyemo
Mie ndio Tina, ahsante kwa kunidhalilisha.."
Nilimtamkia hayo maneno Nyemo, aliniangalia
kisha akaingia ndani ya gari lake nakuondoka na
Wake vijana walionishusha kinguvu.. nikaondoka
zangu nakufanya ule umati wa watu uliokuwa pale uendelee kunishangaa.
Njia nzima nilikuwa sijiamini amini kwa kitendo
alichonifanyia Nyemo huku nikigeuka nyuma mara
mbili mbili,
"..samahani kaka hapa ni wapi..?"
Ilinibidi niulize baada ya kunyosha njia kama nisiyoifahamu..
"..hapa ni mabibo Loyola, kwani we unaelekea
waipi..?"
"..daladala za kuelekea posta zipo wapi..?"
"..nenda na hii njia moja kwa moja na ukifika
mwisho mwa lile geti la shule ya Loyola, utazikuta daladala pale.."
Niliendelea na safari yangu mpaka nikazikuta
daladala za kuelekea posta nikapanda.
Ndani ya dakika kama arobaini nilikuwa tayari nipo
chuoni 'Cbe' nilijitahidi kuweka tabasamu ili
kuaficha wenzangu lakini kabla sijaingia geti la 'cbe' simu yangu niliokuwa nimeweka kwenye
begi ikaingia meseji kwa haraka haraka
nikaichukua
Nakuanza kuisoma..
'..NIPO NJIANI NAKUJA CHUONI KWENU
KUKUCHUKUWA TWENDE KWANGU..." Nikaangalia mara mbili mbili kujua imetokea wapi,
nikaja kugundua kuwa jina limeandikwa Jerry.. Itaendelea tena kesho...
 
hii story yako imeteka fahamu zangu, thanks much. Naomba usiendelee leo ili niweze kufanya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom