Habari zenu,
Eti mwanaume ukichati nae tu ni sababu tosha kwamba umemkubali? Kuna rafiki yangu alizoeana na mkaka mmoja hivi kwenye mkutano wa kikazi, wakawa wanachati wanawasiliana na kuongea sana, sasa eti juzi mkaka akamkaribisha dada kwake, yule dada akamwambia basi nakuja na rafiki zangu wawili, mkaka anang'aka njoo peke ako, kuuliza kwani kufanya nini, mkaka anamwambia that we mtu mzima utakuaje hujui.
1. Ivi jamani kuchati na mtu ni tiket tayari ya kumkubali?
2. Kwanini wanaume hamuweki wazi basi kama unampenda mtu?
3. Style ya kutongoza ya sikuizi ikoje?
4. Utatakaje kugegeda mtu wakati hamjapanga chochote abt love life
5. Au mapemzi ya sikuizi yanaanza na ngono kwanza?