Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Linapokuja swala la mapenzi huwa wanaume Gea zetu ni auto ,imana tunaingia fasta na kutoka fasta inapopidi,
Ila watoto wa kike wao Gea zao ni Manual,anaweza akachukuwa muda kukupenda na pia akachukuwa muda kukuacha pia ,na hata wakat mwingine kuishi na mtu labda tu kuna kitu kimoja amekipenda toka kwake ,
mfano mwanamke anaweza kuishi na mwanaume akapenda pesa zake ,au mwonekano wake ,au ongea yake cheka yake ,na basi maisha yakaenda,
Ila jambo hili ni kinyume kwa wanaume....