Villky_J
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 492
- 609
Tunafahamu pombe ni starehe kwa wale watumiaji lakin pombe hii ukizidisha madhara yake ni makubwa, ikiwa ni pamoja na kukuaibisha kiasi kwamba fahanu zikijurudia utajuta kwa nn uliitumia.
Jaman mm upande wangu, nikunywa pombe siku ya harusi ya dada angu..ili kuondoa aibu siku hiyo kwani ni sherehe iliyokuwa inatuhusu wanafamilia, kilichotokea mm ndio niligeuka kioja mule ukumbini maana kila muda natoka mbele (hightable) na kucheza bila mpangilio mwisho wa siku walinitoa nje na kunifunga kamba..nitukio ambalo haluwez kusahaulika maana mpk kwenye video ya harus mm ndio nilikuwa main character badala ya wahusika kiasi kwamba mpk kuonana na shemej yangu naona aibu. Usiombe yakakukuta ndio mana wakasema ''kunywakistaarabu''