Utamjuaje mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako?

uajekundu

JF-Expert Member
Jan 14, 2016
541
461
Habari wanajamvi,

Kuna maswali najiuliza sipati jibu, hivi utamjuaje mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako ambaye atakuoa?

1. Unaweza ukampa mbunye akabaki kuisifia na kuitaka kila siku ila asioneshe dalili ya kuoa.

2. Hivi ni kweli mwanaume kama anakupenda anaweza kukuoa bila hata kumpa mbunye?

3. Je nikitaka kumkamata mwanaume asiniache nimfanyeje? Mfano mbunye nilishampaga akaona na anasifia na kuomba sasa ukimbania anaweza akaondoka? Au kama kakupenda anaweza kukuoa kama kuiona si kaiona na anaijua.

4. Kwanini wanaume wanaendekeza kupenda ngono ovyo?
 
Inategemea na aina ya mwanaume uliyenaye wapo wengine hata bila kupewa hiyo mbunye huwa wanaoa japo kwa miaka ya sasa ni ngumu kwa kweli.

Hayo ya kusema kumkamata huwa hakuna dawa ni maamuzi ya huyo mwanaume akiridhika na unachompa anaweza akatulia.

Hilo la kuendekeza ngono ni tabia ya mtu na kama anayo huwezi kumzuia hata siku moja.
 
mwanamke unauliza swali hilo???
au umeshikiwa akili!
badala uwaze usiwe tegemezi unawaza uzinzi!

endelea kusex ili umkamate boya mwenzio.

na humu utaambiwa hadi utoe choo ndo utawakamata kumbe wamekuonavuvuzela.
unajifanya mlokole kwenye kila post,,,si ajabu unapigwa mtungo wa watu watatu na hutosheki
 
Ni wanaume wachache sana tunaovumilia kutokugegeda hadi ndoa...

Tabia ya kudokoa na kuonjaonja kujua ladha/utamu hiyo ni ya mtu binafsi (mazoea) kwa hiyo kama ulimzoesha na hukuonesha msimamo tangu mwanzo, ndio tabia hukua siku hadi siku..
 
2) Hivi ni kweli mwanaume kama anakupenda anaweza kukuoa bila hata kumpa mbunye?

NDIYO, INAWEZEKANA KABISA MWANAUME KUKUOA BILA KUFANYA NGONO LAKINI LAZIMA KUWE NA SABABU YA KUFANYA HIVYO

3) Je nikitaka kumkamata mwanaume asiniache nimfanyeje? Mfano mbunye nilishampaga akaona na anasifia na kuomba sasa ukimbania anaweza akaondoka? Au kama kakupenda anaweza kukuoa kama kuiona si kaiona na anaijua.

NGONO SIO KIGEZO CHA MWAUNAUME ASIKUACHE, KUNA VITU VINGI MBALIMBALI VINAMFANYA MWANAUME ABAKI NA WEWE, HIVYO VITU VINGINE HATA NI NJE YA UWEZO WAKO. KIKUBWA NI KUYAFAHAMU NA KUKIDHI MATARAJIO YAKE YAANI HATA UFANYEJE BADO KAMA HUTAKIDHI MATARAJIO YAKE HATAKAA

4) Kwanini wanaume wanaendekeza kupenda ngono ovyo?....

WANAUME KATIKA MIILI YAO WANA HORMONES KITAALAMU ZINAITWA TESTOSTERONE. HIZI NI HORMONE ZINAZOCHOCHE MWANAUME KUWA NA HAMU, NGUVU NA UWEZO WA KUFANYA NGONO MARA KWA MARA. WANAUME KWA ASILI WAMEUMBWA KAMA WAZALISHAJI, NA TENDO LA NDOA NI KICHOCHEO KIKUBWA CHA KUTUNGA MIMBA NA HATIMAYE KIUMBE KUZALIWA.
 
Kwa maelezo yako tu inaonekana hujatulia macho juu juu,unaitumia asali yako vibaya kunasa mwanaume wa kukuoa. Shaurilo utajikuta unagawa mpaka nati zinalegea na hakuna wa kukuoa. Gawa kwa afya na kupunguza genye zako kama unagawa kisa kuvutia ndoa pole sana
 
Ukitoa toa bila kukumbuka... Usitoea kitu huku ukisubiria malipo...


Don't expect to much from anyone you will be disappointed if things wont go well...

Alafu nyota njema huonekana asubuhi.. You can never keep a man who doesn't want to stay or been kept... Mwanaume mwenye nia na wewe... Bila hata kutumia akili nyingi mwenyewe atatulia kwako...


I love my mahondaw so much... I have decided to stay only with her... In bad and good.. In better and worse in pain and pleasure...



Cc: mahondaw
 
Habari wanajamvi,

Kuna maswali najiuliza sipati jibu, hivi utamjuaje mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako ambaye atakuoa?

1. Unaweza ukampa mbunye akabaki kuisifia na kuitaka kila siku ila asioneshe dalili ya kuoa.

2. Hivi ni kweli mwanaume kama anakupenda anaweza kukuoa bila hata kumpa mbunye?

3. Je nikitaka kumkamata mwanaume asiniache nimfanyeje? Mfano mbunye nilishampaga akaona na anasifia na kuomba sasa ukimbania anaweza akaondoka? Au kama kakupenda anaweza kukuoa kama kuiona si kaiona na anaijua.

4. Kwanini wanaume wanaendekeza kupenda ngono ovyo?
Mshirikishe Mwenyez Mungu hakika utapata hitaj la moyo waako
 
Back
Top Bottom