UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,585
- 1,885
Habari za maisha waungwana!?
Hivi umeshawahi kukaa na kujiuliza kama kijana hasa kijana wa kiume kwanini watu wenye pesa wanavutia na upendwa zaidi na mabinti?
Umeshawahi kuwa na mahusiano na binti akataka kuja kwako unapoishi?
Au binti anauliza unafanya kazi ofisi gani?
Wakati mwingine inaenda mbali zaidi anakuomba umfate sehemu akidai anaona uvivu kutoka akihisi labda utamfata na usafiri binafsi?
Pole najua wengi mnakutana na changamoto kama hizi.
Nikupe siri wanapenda uwe na 3 package yani CREDIT 3 Nyumba,Pesa na Gari kama huna vyote hivi walau uwe na Pesa itakayo leta msukumo katika kufanikisha mambo yako na uwe na kwako sio kwenu yaani kwako nyumba yako, Chumba chako, Ili wawe na imani kua tuna mtu ambae anayaweza majukumu
Kama huwezi kuhandle majukumu ya kama kulipa Kodi, kujitunza wewe binafsi au ata kuweka mafuta kwenye gari hawa wenzetu huishia kukuona mzigo.
Mind you mabinti wako selective sana hasa wanaojielewa tena linapokuja swala la atoke na mwanaume wa namna gani.
Unapofail kufanikisha walau moja kati ya hayo unawakati mgumu sana kufikia kuexcute mambo yote yanayohususha mahusiano yako utateseka tuu.
Be so romantic as in Bonus compliment usisahau vyote vinategemeana ukileta ujuaji utabaki na ujuaji wako wenzako watasogea utabaki hapo kama mnyoo.
Hakunaga ujanja ujanja hapo
"Bora kufa ndani ya BMW kuliko kufa kwenye BICYCLE "
GENTLEMAN!