Habarini wadau?
Nimeshuhudia tukio la kusikitisha sana na kila mara ninalifikiria.
Iko hivi, mimi ni mpangaji mmoja wapo kati ya wapangaji watatu.
Kisa hiki ni juu ya mpangaji mwenzangu...
Wanawake wengi maarufu kama Bongo movie,na wabongo flaver kuolewa kwao na kulea familia na mume ni kazi sana. Kweli huwezi faidi zote upate umaarufu na ufaidi ndoa ni vitu viwili haviendani. Wengi...
Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa...
Nikiwa katika kipindi kigumu cha kuwa peke yangu na vishawishi vingi
Kuna mheshimiwa mmoja Kijana ni rafiki yangu tulikutana nje ya nchi wote tukiwa safarini mawasiliano ndiyo yakaanzia hapo...
Mtu alimtumia meseji mke wake; “Samahani mke wangu sitaweza kuja kukuchukua, nipo Hospitalini hapa Mama amelezwa kapungukiwa damu ndiyo nahangaika watu wa kumuongezea”
Mkewe akajibu; Kwahiyo Mama...
Habari zenu wadau wa jukwaa letu pendwa bila shaka mko poa,,
Leo nimeona nishee na nyinyi tukio hili ambalo lilinikuta miaka saba iliopita,,,
Nilisafiri kutoka Tanga mpk Arusha kwa shangazi...
Wananchi mimi niko vizuri sijui nyinyi.
Ebwana kwenye public transport huwa Kuna ule mtindo wa wanaume kuwabambia wanawake, hasa njemba ikigundua bidada kajaaliwa basi habanduki ng'o
Binafsi...
Labda ndio maana wengi wenu hamuolewi.Yaani wengi wenu mkiona mwanaume anahesabu pesa vimacho vyenu vinakuwa juujuu kama mdoli!hatukatai wote tunapenda pesa ila nyie mmezidi hadi kero.....sijui...
Hello ladies & gentlemen.
just a moment ago, i was reading a very interesting article and i would like to share it with you MMU members. enjoy..
If You Want To Be Successful, Marry Your Best...
Wana jamii forums wasichana natafuta mchumba tukiridhiana nioe
Sofa
1) Awe na akili timamu
2)Awe mweupe au maji ya kunde
3) kabila lolote na Taifa lolote
4)Asiwe mlevi awe mwislamu au kama ni...
Kwa takribani miezi mitatu sasa nimekua nikifuatilia tamthiliya za mapenzi za kikorea. Katika muda huo wote sijaona hata kipande kimoja ambacho mwanamke anamuomba pesa mpenzi wake...
Cha...
Nina umri wa Miaka 23
Nasoma Shahada ya Udaktari
Mwaka wa Pili
Niko Dar es salaam
Natafuta Rafiki wa Kike
Umri awe 18-21
Sibagui Dini
Awe anaishi Dar es salaam
Awe mwanachuo wa chuo chochote
Awe...
Habarin wanajamvi
Leo hali ya afya yangu haikua mubashara ikabid nijisogeze zahanati ili kupata tiba,nikiwa ktk harakati za kuhudumiwa ndio nkakutana na kihoja cha dada mjamzito ali akilalamika...
Hali vipi wanajamvi?
Nina mshikaji wangu na ambaye ni mwenzangu kazini majuzi haya amegundua mpenzi wake ana uraibu mkubwa wa sigara kwa taarifa aliyonipa ni kwamba hili ni jipya kwake kwani...
Hello Gentleman and Ladies, Yaani huwa nikimwona mwanamke ambaye amevalia hijab huwa nawapenda sana ukute amefunika na uso ameacha hayo macho tu .ukute ana macho yale ya kurembua halafu apake na...
Habari za leo wana JF?
Kama kichwa cha uzi huu kinavyosomeka, nataka kufahamu kuwa Je wanawake walio katika ndoa za Mitala (Polygamy) (Mme mmoja, Wake wengi) huingia katika ndoa hizo kwa hiari...
Wasalaam wakuu
Naomba kujuzwa kama inaruhusiwa kisheria kumtongoza Askari wa kike akiwa na Uniform
Nipo hospital moja hapa nimekaa na correctional officer wa kike tena ni kigori kweli kweli...
Habarini wana jf,
Naomba niende moja kwa moja kwenye point....
Usiku wa kuamka leo nimekosa amani totally na nimewaza sana lakini nakosa majibu nikaona ni bora niombe msaada kwenu.
Ni kwamba...
Jambo Jf.
Mwisho wa mwezi ndo huo,utasifiwa sana na mpenzi wako,mara sweetheart ,mara honey ,mara beibi n.k sasa kuna wengine wameenda mbali wanawaita wapenzi wao "we ndo kinjekitile wangu" duuh...