kuna jirani yangu bwana nguo zake huwa anafuliwa na mama mmoja hivi anakuja kufua jmosi kuja tena hadi jtano
huyu mama jirani kutoa nguo kwenye kamba ni kazi .kipindi cha jua nguo zinapigwa jua...
Taking back into the hands of time, embu tukumbushe ulikuwaje unaipokea siku ya visiting day wakati unasoma shule ya sekondary ya single sex.
Mfano kama uliwahi kusoma Kilakala, Weru weru...
Mwanamke anaekupiga mizinga kila kukicha sio wa kuanza nae maisha...Huyo hana mpango na wewe anakutumia kufanikisha ishu zake asepe,Tuwe makini nao sana hawa wa hivi,mbaya zaidi wanawake wa hivi...
Tukiwa katika maadhimisho ya mwisho mwisho siku ya MAMA Duniani.
Napenda kutoa pongezi kwa wamama wote, ila pongezi za muhimu zaidi ziende kwa SINGLE MUM'S.
Hamkupenda hali hiyo iwapate, ila...
Majina ya kimahaba bana mengine yana maana mbaya na hayafai kuwaita tuwapendao.
Usimuite umpendae 'mrembo' kwa sababu sio neno zuri na umemfanya aonekana m-baya. Mrembo inamaana kuwa msichana...
Eti wa ndugu, Utra-sound inaweza kudetermine tarehe ambayo mwanamke ameshika mimba. Kuna mtu anataka kuniinia hapa ? Mwenye maelezo ya kina juu ya hicho kipimo.
Tumekuwa kwenye uhusiano naye kama mwaka na nusu sasa. Ni single mother. Naonana naye occasionally kutokana na time table za kazi zangu na yeye kazi zake.
Mwanzoni nilikuwa namlipia bills zake...
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya malezi watoto wetu. Ni dhahiri kuwa kulea mtoto peke yako ni changamoto sana, kuanzia kutafuta mahitaji ya kila siku ya mtoto hadi kumtimizia mahitaji yale...
Marafiki wawili *(Elias na Ben)* walikuwa wanatembea mtaani, akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu.
Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo...
Hello JF!
Ni love quote gani unapenda kuitumia kama reference ya kukuinspire hasa pale love affairs zinapokua hazikuendei sawa kwa upande wako?
Binafsi huwa naipenda hii zaidi ''To love and to be...
Nimepokea maombi mengi sana kutoka kwa baadhi ya kinadada kwenye pm yangu wakitaka kujua vile wanavyoweza kuvutia zaidi mwanaume Na hatimaye kuweza kupata chaguo bora la mume.
Aidha kuongezeka kwa...
Habar za humu wana jamii forum yupo dada moja ambae ni mpenzi wangu nilikuwa na mpango wa kumuweka ndani lakini kutokana na tabia yake ya kuomba pesa (vibomu) ambavyo havina sababu nimeamua...
Wakuu
Uzi upo wazi kabisa na nipo serious kwelikweli kwani natafuta MWANAMKE ambae yupo serious na Mwenye kutaka mahusiano na hatimae kufikia hatua ya NDOA. Narudia tena nataka kuoa ...
Wakuu,
Ni ka-first date weekend hii, nahitaji iwe yenye msisimko. Kama unaipata sehemu yoyote nzuri ambayo haitanitoa jasho wala kutoboa mifuko yangu, naomba nishirikishe wakuu.
Habari wana MMU,
Kiukweli nilivyomtokea siku ya kwanza alinikatalia. Alinieleza kuwa ni mke wa mtu na anampenda sana mme wake isitoshe wana mtoto nae.Awali, nilikuwa nadhani alikuwa anafanya kazi...
Siku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko...
Hivi wadau nimeachana na msichana wangu cha kushangaa haijapita hata mwezi kapata mwanaume mwingine. Je alikuwa naye tangu zamani?
Wadau nimemkataza ex wangu asitume picha za mchumba wake mpya...
Na FREDRICK KISALALA
Siku zote mapenzi huyapa maisha thamani lakini wapo ambao hujikuta kwa namna moja ama nyingine wanatengana na wapenzi wao kwa sababu tu ya mihangaiko ya kila siku ya...
Habari ya wakati huu,
Wanawake mnatakiwa kuelewa kua jukumu la kuridhika kitandani ni jukumu lenu na sio la mwanaume.
Ni ukweli usiopingika kua wanaume tuna hisia za juu sana za ngono kuliko...
Habarini wadau wa humu?
Nina kama wiki tatu toka tumeachana na boyfriend wangu. Tuliachana kwa mesej zenye maneno makali sana. Yeye akinitolea laana nami nikimkashifu.
Tumekuwa watu wa...