Muite umpendae jina zuri

Mto_Ngono

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
686
589
Majina ya kimahaba bana mengine yana maana mbaya na hayafai kuwaita tuwapendao.

Usimuite umpendae 'mrembo' kwa sababu sio neno zuri na umemfanya aonekana m-baya. Mrembo inamaana kuwa msichana huyo si mzuri bali anaonekana mrembo kutokana na modification au make ups zinamfanya kuvutia ila akitoa hizo makeups basi mnaweza kukimbiana.

Usimuite umpendae 'Sweet' bali muite love maana ukimuita sweet utamu wake huisha. sweet ni 'utamu wa muda' na sio wa milele, na zaidi humaanisha mpenzi wako ni mtamu kwa muda haswa unapokuwa nae lakini love ina maana upendo wa milele.

Naamini zaidi mpenzi wako anajisikia raha pale unapomuita kwa jina lake. Nadhani kwa kujitahidi kumuita mpenzi wako majina mazuri huchangia kuongeza upendo. Bae, honey sijui boo na majina mengine tupa kule hayo waite warembo.

Tujitahidi kufanya hivyo.
 
Tsetse fly...wa kwangu huyo...yaan its like am all prepared..najua haya mapenzi ya kisasa huchelewi kung"atwa..yaan kama mbung"o....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom