Na ka-date Jmo - Recommend places/Activities Plz.

Jan 21, 2017
10
2
Wakuu,
Ni ka-first date weekend hii, nahitaji iwe yenye msisimko. Kama unaipata sehemu yoyote nzuri ambayo haitanitoa jasho wala kutoboa mifuko yangu, naomba nishirikishe wakuu.
 
Back
Top Bottom