Nimeachana na msichana wangu haijapita mwezi kapata mwingine

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Hivi wadau nimeachana na msichana wangu cha kushangaa haijapita hata mwezi kapata mwanaume mwingine. Je alikuwa naye tangu zamani?

Wadau nimemkataza ex wangu asitume picha za mchumba wake mpya maana nahisi hakituma nitaumia na kuchekwa na washikaji
 
Thats a rebound relationship, kamkubalia akiona ni njia ya kuepuka stress alizokuwa nazo.Kumbuka wanawake wanatongozwa kila siku but since it seems as what we call a "rebound relationship" ni matumaini yangu.kwamba hawatadumu na ataishia kupata stress mara mbili ilimbidi atulie kwanza kwa muda wa kutosha!
 
Kwa kawaida mnapoachana,kila mtu yampasa kujipa muda,ili afanye maaamuzi sahihi,na hiyo wengi hukosea hapa tunafanya haraka ili kuwakoga wapenzi wetu eti "ukisema wewe cha nini?,wenzio wanasema watakipata lini",sasa hapo huenda alifanya mapema kukukoga wewe,au alikuepo pembeni kama spea tairi...
 
well done umeongea point mm nikamuuliza uyo ulikuwa naye tangu zamani
 
Kwa kawaida mnapoachana,kila mtu yampasa kujipa muda,ili afanye maaamuzi sahihi,na hiyo wengi hukosea hapa tunafanya haraka ili kuwakoga wapenzi wetu eti "ukisema wewe cha nini?,wenzio wanasema watakipata lini",sasa hapo huenda alifanya mapema kukukoga wewe,au alikuepo pembeni kama spea tairi...
kwa iyo jamaa alikuwa spear tyre nimechomoka tu kamvuta fasta
 
Back
Top Bottom