Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,791
Taking back into the hands of time, embu tukumbushe ulikuwaje unaipokea siku ya visiting day wakati unasoma shule ya sekondary ya single sex.
Mfano kama uliwahi kusoma Kilakala, Weru weru, Msalato, Tabora girls, Iringa girls, Loleza and the like, ulikuwa unafill aje kusikia kuwa siku hiyo kuna vidume toka shule kama Mzumbe, Iyunga, Tosamaganga, Ilboru, Tabora boys, nk kuwa wanakuja kuwapa hi?
Kwa wale wanzangu na mimi wa barua unakumbuka enzi za barua za airform? Kwa wasiozijua airform, hizi zilikuwa ni karatasi maalum zilizokuwa zinauzwa na shirika letu pendwa la POSTA. Wakati stemp ya kawaida ilikuwa inauzwa sh mia tatu, air form ilikuwa ni sh mia hamsini...
Mi nakumbuka madem walikuwa hawapendi kweli kuandikiwa barua kwenye airform. Walikuwa wanapenda zile bahasha za rangi na zile karatasi zilizochorwa vikatuni katuni na makopa kopa...
Ooh, my where are all those girls we used to write to each other? Where are they?