Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,582
- 48,737
kuna jirani yangu bwana nguo zake huwa anafuliwa na mama mmoja hivi anakuja kufua jmosi kuja tena hadi jtano
huyu mama jirani kutoa nguo kwenye kamba ni kazi .kipindi cha jua nguo zinapigwa jua hadi unazionea huruma unatamani hata kuzipa maji ya kunywa.
sasa kipindi hiki cha mvua sasa nguo zinanyeshewa zinakauka zinanyeshewa tena basi taabu tupu .nahisi watakuwa wananuka sana humo ndani. kuna wakati mume akitaka nguo flani unamuona anaifata kwenye kamba jamani. huwa nacheeka kama mazuri.
kuna wanaume ndani wana shida hadi basi.