The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,912
- 19,118
Habari ya wakati huu,
Wanawake mnatakiwa kuelewa kua jukumu la kuridhika kitandani ni jukumu lenu na sio la mwanaume.
Ni ukweli usiopingika kua wanaume tuna hisia za juu sana za ngono kuliko wanawake, lakini haina maana kwamba kwa kua tuna hisia za juu sana za ngono basi ni jukumu letu wenyewe kuwaridhisha wanawake.
Pamoja na kua wanaume tuna hisia za juu lakini pia tukiwa na miadi ya mechi hua tunaikamia, akili zetu karibu sehemu kubwa huhamishia kwenye mechi itakavyokua, jinsi huyo mwanamke alivyo, mapaja, ujazo wa k yake, mnato, mihemo yake nk nk, hivyo hua tunaiandaa akili yetu kwa ajili ya tukio kitu ambacho wanawake wengi kama sio wote hawafanyi.
Unakuta mwanamke anakuja kwenye mechi utafikiri anaenda msibani, akili inawaza sijui mikopo, vikoba, sijui ugomvi wake na workmate na mambo mengine ya ajabu ajabu huku jukumu lote la mechi kamuachia mwanaume, amuandae kiakili utafikiri mtu ameshtushwa wakati alipewa au aliombwa mechi wiki nzima, anakuja kama vile hajui kinachokuja kufanyika. Hawa ndio wale wanataka uwakaange kwa masaa ndio waridhike maana akili yao haikua inawaza gemu.
Wanaume pia tuna mambo mengi ya kufanya ila inapokuja suala la mechi huhamishia nguvu zetu zote za kiakili na kimwili kwenye kuwazia mechi.
Mwanamke jukumu la kuridhika kitandani kwanza linaanza na wewe mwanaume huja kumalizia tu, ni sawa na ladha ya chakula, lazima kwanza mlaji uwe na ladha au hamu ya chakula chumvi ni kikolezo tu, kama huna hamu ya chakula hata kipikwe na kuungwa namna gani bado unaweza usione utamu wake, ndio hao mnaotaka msuguliwe masaa ndio mridhike msiporidhika mnakuja kuponda eti wanaume hawana nguvu za kiume wanakojoa haraka, kama hujaandaa akili yako ukojozwe mapema sisi tutaendelea tu kuwahi kukojoa.
Mwisho: Mimi sio jukumu langu kumridhisha mwanamke, nikiridhika mimi yeye hajaridhika ni shauri yake, siwezi kuwaza kutafuta pesa ya kuhonga, pesa ya gest na mambo mengine alafu nifikirie tena kumridhisha mtu.
Naomba ieleweke tu kua haya ni maoni yangu binafsi.