kiyusa mwenge
Senior Member
- Sep 4, 2016
- 113
- 66
Wakuu
Uzi upo wazi kabisa na nipo serious kwelikweli kwani natafuta MWANAMKE ambae yupo serious na Mwenye kutaka mahusiano na hatimae kufikia hatua ya NDOA. Narudia tena nataka kuoa .
Mwanamke aliyekwisha achika/mjane Mwenye mtoto mmoja nampa kipaumbele sana
Masharti ni kama ifuatavyo
1- Awe Muslim
2-Awe anajiheshimu yeye mwenyewe
3-Age yake iwe kati ya 18-35
4-Elimu awe anajua kusoma na kuandika 5-Awe tayari kukaa na wanangu Wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume japo wote sikai nao kwa sasa
Hayo tu ndio masharti YANGU Mwenye kuhitaji kweli ani PM au anitafute kwenye namba 0625472506