tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,878
- 15,454
Hello JF!
Ni love quote gani unapenda kuitumia kama reference ya kukuinspire hasa pale love affairs zinapokua hazikuendei sawa kwa upande wako?
Binafsi huwa naipenda hii zaidi ''To love and to be loved is one of the greatest happiness of existance'' by Sydney smith.