Huyu dada simuelewi, anataka nini hasa

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,989
4,725
Tumekuwa kwenye uhusiano naye kama mwaka na nusu sasa. Ni single mother. Naonana naye occasionally kutokana na time table za kazi zangu na yeye kazi zake.

Mwanzoni nilikuwa namlipia bills zake zote, yaani kuanzia maji, umeme, chakula, mafuta ya gari, kujirusha weekend etc.

Siku moja tukakorofishana kidogo, akasema nisifikiri yuko na mimi kwa ajili ya vicent ninavyompa. Yeye yuko na mimi sababu ya mapenzi tu. Na akaenda mbali zaidi kudai kuwa ni bora nisimpe hela lakini nimpe mapenzi.

So mwezi uliopita nimejikausha kutuma hela, natuma meseji za mapenzi tu na simu nampigia mara kadhaa kwa siku.

Amepaki gari kwa sababu hana heka ya mafuta nampiti asubuhi na jioni kumrudisha. Tumekuwa karibu sana kipindi hiki, kwani na mimi nimestopisha safari zangu niko mjini tu, na bahati nzuri tunakaa direction sawa na mimi so kumchukua na kumrudisha is not an issue at all.

Sasa ameanza kulalamika eti nimebadilika na simjali.

Kwa kweli sielewi nifanye nini.
 
Mkuu uzi huu hauna nguvu,sasa hapo usochoelewa ni nini?mpe pesa kama zamani mambo yarudi sawa.
 
poleee mwayaa
 
yuko vizuri. wanawake hawajui wanachokitakaga ndugu vumilia tuu.
 
Hawa wanawake bhana huwa hawaeleweki mida mingine,,
Hapo anza tena kulipa bills ndiyo dawa tu,,
 
Mim sijaelewa lolote nahis mleta mada alitka tujue tu yey na mwanamke wake wana magari basi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom