Msaada wa haraka naelekea kuibiwa.

Mwagito84

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
235
707
Eti wa ndugu, Utra-sound inaweza kudetermine tarehe ambayo mwanamke ameshika mimba. Kuna mtu anataka kuniinia hapa ? Mwenye maelezo ya kina juu ya hicho kipimo.
 
Ultrasound haiweiz tambua tarehe ya mke kupata mimba bali inatambua mimba inamiezi mingap na mtoto ni wa jinsia gani na pia mtoto yukoje tumboni cku ya kujuwa mimba imeingia mke au girlfriend wako sawa mkuu muulize vzr hatakwambia
 
Eti wa ndugu, Utra-sound inaweza kudetermine tarehe ambayo mwanamke ameshika mimba. Kuna mtu anataka kuniinia hapa ? Mwenye maelezo ya kina juu ya hicho kipimo.
swala la kuibiwa eti kwa kujua siku mimba imeingia wala usijipe stress mkuu... haya mambo mwachie mama tu akikuambia ni wako we relax lea
 
kama inajua umrii wa mimba ina maana wakihesamu vyema watajua mimba imepatokana lini
Hiwezi jua, watakwambua tu mimba ina wiki tatu au nne, kama mke ameliwa asubuhi na mmoja na jioni na mwingine, au Leo kala mume kesho kala kidumu chake,
 
Eti wa ndugu, Utra-sound inaweza kudetermine tarehe ambayo mwanamke ameshika mimba. Kuna mtu anataka kuniinia hapa ? Mwenye maelezo ya kina juu ya hicho kipimo.
Swali, ulitumia condom hukutumia???? kitanda hakizai haramu, nenda kalee mimba na mtoto.
 
Back
Top Bottom