Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,822
Tukiwa katika maadhimisho ya mwisho mwisho siku ya MAMA Duniani.
Napenda kutoa pongezi kwa wamama wote, ila pongezi za muhimu zaidi ziende kwa SINGLE MUM'S.
Hamkupenda hali hiyo iwapate, ila kutokana na msukumo wa maisha katika namna moja ama nyingine, pamoja na mabadiliko ya Dunia hii. Kila mmoja wenu anasababu ya yeye kuwa hivyo. kulingana na sababu hizo mlijikuta hali hiyo haizuiliki. Pongezi ziende pia kwa wanenu waliojenga uaminifu kwenu.
Sababu ni nyingi sana, zote zipo kati ya mwanaume ama mwanamke. Sihitaji kuchimba ndani, nafsi zenu zinajua hilo.
Burudikeni na hiki kitu hapo chini, ni matumaini yangu mtafarijika zaidi na kupambana.
Mungu aendelee kuwapigania.
By Baba EEE.