Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
Habar za humu wana jamii forum yupo dada moja ambae ni mpenzi wangu nilikuwa na mpango wa kumuweka ndani lakini kutokana na tabia yake ya kuomba pesa (vibomu) ambavyo havina sababu nimeamua kumuweka pembeni na kumtoa samani ya mke bora na nimemweka kundi la mchipuko
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaasa wasichana wenye tabia kama za huyu dada tena mwenye kazi nzuri inayompa kipato cha kutosha kuachana na tabia za kupiga vibomu wanaume.
Kwa hivi sasa wanaume wengi tumekuwa tukiangalia wanawake wenye utu zaidi na tabia njema kuliko tamaa.....Maana mwanamke mwenye tamaa mwisho wake huwa si mzuri zaidi ya kuishia kuwa malaya.
Chonde chonde mwanaume mwezangu kama girl friend wako ni wakupenda vibomu na tamaa ya pesa huyo muogope kama ukoma ukiweza chakachua tu na kuondoka