Kitchetche
Member
- Apr 2, 2017
- 71
- 77
Naomba kujua ni kipi kinapelekea wanawake kuhema sana wakati wa mechi, yaan mwanzo tu unakuta anahema kama vile ametoka mbio ndefu wakati baadhi yao wakati wa mechi yeye ni kulala tu hamna hata uno moja useme ndo linalompelekea kuhema.