Maoni yangu kuhusu Nguvu za kiume

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Kufikia Mwaka 2020 Wanaume asilimia 70
watakuwa na Upungufu wa Nguvu za Kiume,
sio
kwa sababu nyingine ila Wanawake mtakuwa
mmesababisha.
Hawa jamaa wamezaliwa marijali lakini kwa hizi
Style zenu hizi,hawafiki mbali.Ni ukweli usiopingika kwamba Wanawake wa Kiafrika wana aibu,japo
wengine mnafoji tu mishipa ya aibu ilikatika
kitambo,ila mnaekti muonekane wastaarabu.
Tendo la Ndoa linakuwa dominated na
Mwanaume....Anajiandaa mwenyewe...Asim
amishe...Akuandae wewe,ye kasimama tu,hadi moto ukolee,akupe mambo,umetulia,na
unategemea akuridhishe pia..Duh,This is hell of a
job..Wanaume wanatumia nguvu nyingi sana
kupandisha hisia hadi kuanza tendo la ndoa
anabadilisha Picha za Rihanna,Beyonce
,Ciara,Mwasiti,hadi asimamishe labda ije picha ya Nicki Minaj ndo afande abdala kichwa-wazi
anapata mzuka...Kwa mtindo huu wa kuekti,na
kutowasaidia waume zenu kuinjoi tendo la ndoa
kuanzia mwanzo wa maandalizi mpaka kufikia
Kitonga,Watachoka na kuna kipindi
hawatasimamisha kabisaaaaaa maana Image zoteeee wanazotumia kusimamishia sasa zitakuwa
hazisaidii tena...Kila ukiambiwa hivi akhaaa mi
nasikia kinyaa,fanya hivi ah bwana
unanisumbua..Haya wee..NI HAYO TU
 
Umesema kweli..kwanza wanawake hawanaga hamu tena na ninafikili ni kwa sababu ya kufanya sex mala kwa mala na wanaume wengi.haiwezekani nijiandae kusex mimi nimuandae na yeye ni ngumu.ndo mana siku hizi wanasema eti hawalidhishwi na waume zao,kama wasipokua na mapenzi ya wanaume wengi na wanaume nao kama tusipokua na wanawake wengi,utakapokutana na mwanaume/mwanamke mhemko hautahitaji kuandaliwa hata kidogo
 
Dah, umeua kilakitu mkuu,
uzoefu ulionao ni hadhina nzuri sana hapa JF, big up
 
Back
Top Bottom