Kwanini wasichana na wavulana hudanganya kuhusu umri?

Hapana. Umeenda Vice Versa.

Wanawake wengi haswa huchukia au kutopendezwa na maswali wauliswayo kuhusu Umri hasa wale wa miaka 27 kuendelea. Hawayapendi kabisa maswali hayo... Na huwa wakitaja umri wao hupunguza walau miaka mitatu mpaka mitano. Binti ana miaka 31 lakini anakuambia ana 26. Ili usimuone kachoka.

Wasichana ndiyo nakubaliana. Hasa wa Sekondari. Huongeza umri kidogo ili waweze kudate na wanaume wakubwa waliowazidi umri.

Vijana wadogo wa Kiume, haswa nao huongeza umri wao walau kidogo ili waweze kuonekana Wakubwa. Inakatisha sana tamaa kumtongoza mwanamke na kukuambia wewe ni mdogo wangu. Siwezi kudate na wewe. Hivyo huongeza umri kuendana nao.
 
Kwanini wasichana wengi wanataka
Kuonekana wao n wakubwa?

Na kwanini wavulana weng wanataka
Kuonekana wao ni wadogoo???
Wasichana wanapenda kila siku wao waonekane wakubwa, binafsi niliwahi kutana na binti mmoja kwa vile ana mtoto {wale wa kupata mimba wakiwa shule} akawa kila akiniona anafosi nimwamkie kwasababu yeye ni dada kwangu, kumuuliza kwani amezaliwa mwaka gani hataki kujibu, one day si ndio akanifosi, nami nikamuuliza kwani amezaliwa lini, kwa hasira akanijibu "Mi ni dada yako nimezaliwa kabla yako" akaendelea kujitapa mwisho wa siku akasema kwa hasira nimwamkie kwani yeye ni mkubwa kwangu na amezaliwa 89 kwa hasirabado kidogo nimchape makofi
 
Haha sawaa mkuu
 
Hahah tixha sana
 
Kwasababu wao na Nandi ni kitu kimoja..huyu bado anagusagusa na yule haridhiki na aliye nae kazi kuchungulia madirishani na kutamani kuchepuka...
 
Kwanini wasichana wengi wanataka
Kuonekana wao n wakubwa?

Na kwanini wavulana weng wanataka
Kuonekana wao ni wadogoo???
Umegeuza swali mfano kuna mwaka flani wolper alitaja umri wake ikawa kwamba ni kama alimaliza darasa la saba akiwa na miaka nane
 
Hapana. Umeenda Vice Versa.

Wanawake wengi haswa huchukia au kutopendezwa na maswali wauliswayo kuhusu Umri hasa wale wa miaka 27 kuendelea. Hawayapendi kabisa maswali hayo... Na huwa wakitaja umri wao hupunguza walau miaka mitatu mpaka mitano. Binti ana miaka 31 lakini anakuambia ana 26. Ili usimuone kachoka.

Wasichana ndiyo nakubaliana. Hasa wa Sekondari. Huongeza umri kidogo ili waweze kudate na wanaume wakubwa waliowazidi umri.

Vijana wadogo wa Kiume, haswa nao huongeza umri wao walau kidogo ili waweze kuonekana Wakubwa. Inakatisha sana tamaa kumtongoza mwanamke na kukuambia wewe ni mdogo wangu. Siwezi kudate na wewe. Hivyo huongeza umri kuendana nao.
Umenena vyema kabisa mkuu
 
Yes.that is true
 
Back
Top Bottom