Mume amfumania mume wake akiliwa kumbe mume alikua shoga

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,154
Timbwili timbwili patashika nguo kuchanika lilitokea Shinyanga mtaa wa Nguzo nane karibia na soko baada ya mama mmoja anaejulikana kwa jina la Mama Sakina kudai talaka kwa mme wake(jina tumelihifadhi) baada ya kumfumania mumewe akifanya vitendo vya kishoga kinyume na maadili ya kiafrika.
Kwa mujibu wa mpasha habari hizi dume hilo ambalo kwa muonekano wa kawaida ni "gentleman" lilifumwa live kwenye gesti moja(jina tumelihifadhi) likipelekewa moto huku likikata mauno na kulalamika kimahaba na jamaa mmoja fundi wa kuchomelea mageti apo mtaani Nguzo nane anaejulikana kwa jina la Saidi au "Side mnyamwezi"!
Picha ilianza hivi baada ya Gentleman kurudi nyumbani akitokea kazini mamsapu alikua amemwandalia maji ya moto ya kuoga na msosi ukiwa tayari mezani.Mista baada ya kufika nyumbani alienda kuoga huku simu akiacha kwenye chaji mezani.Wakati bado hajatoka bafuni ujumbe kwenye simu yake uliingia kama ifuatavyo:
"honie nina nyege basi njoo na yale mafuta yako!"
Mama Sakina alipoona ujumbe na hana kawaida ya kukagua simu ya mmewe alisita kwanza lakini akawaza kuwa kukagua simu ya mzee sio mbaya ata mara moja kwa mwaka.Akainama na kuikagua lakini ikawa imefungwa inaitaji password akafikiria akaingiza jina la mwisho la mista ikagoma akaingiza kwa mara ya pili tarehe ya kuzaliwa ya mr ikagoma akaingiza jina la mtoto Sakina ikakubali na baada ya kusoma ile meseji presha ikampanda mama Sakina,akawaza ujumbe wa pili ukaingia tena:
"Honie nitakupa mambo ya hatari hujapata tangu uzaliwe fanya haraka basi!njoo pale pa siku zote"
Mama Sakina akajiongeza akajibua sawa nipo na wife,poa nakuja!alafu akafuta ile meseji yake ya sent item.
Baada ya muda njemba ikatoka bafuni na Mama Sakina akamjulisha kuwa kuna meseji imeingia kwneye simu.
Kwakuwa simu ilikua na password jamaa alijiamini akachukua simu na kueleka chumbani kujifuta na taulo.Baada ya kusoma meseji alibonyeza simu na kumpigia jamaa na kumtaarifu kuwa nakuja hamna noma!
Mara ghafla baada ya kujifuta alivaa nguo na kumwambia mama Sakina kuwa anaenda kuna mkutano na mwezake wanaongelea biashara moja ya mpakani Silali Tarime.
Muda huohuo mama Sakina alimpigia dereva wa bodaboda wake aje mpaka karibu na nyumbani kwake kama nyumba ya tatu nje awe tayari kwa safari.
Baba Sakina alitoka nje na kuwasha gari yake aina ya mark two baada ya dakika moja mama Sakina nae akavaa baibui na kupadna bodaboda huku akimpigia simu shoga yake achukue bodaboda amfuate uelekeo wa maeneo ya Majengo hapa Shinyanga.
Mama Sakina aliiendelea kuifuta gari ya mumewe kwa mbali mpaka akafika kwenye Gesti moja jina tumelihifadhi,akamuona mzee ameshuka kwenye gari na kukaa bar meza moja na jamaa huyo wa kuchomelea mageti anayemfahamu hapo mtaani kwao.
Kwakua giza lilikua limeshaanza kuingia mama Sakina na lile vazi la baibui aikua rahisi kutambulika kiurahisi na mumewe aliingia bar na kukaa kwenye kona upande mwingine huku akiwa na shauku ya kujua mumewe anamchukua mwanamke gani huyo anaemwagiza mpaka aje na mafuta!
Punde si punde shogayake mama Sakina ambaye ni askari nae alifika mpaka kwenye eneo la tukio wakiwa na hamu ya kumpa kichapo na kumzodoa huyo mwanamke anaetaka kuvunja ndoa za watu.Ilipofika saa mbili Baba Sakina na jamaa yake waliingia ndani na kuchukua chumba.baada ya nusu saa hivi mama Sakina na mwenzake walifika resepsheni na kutaka kujua hayo madume mawili yamechukua chumba gani?
Mama Sakina alitoa noti ya sh 10,000.00 ili aoneshwe mlango tu wa chumba mhudumu akawaonesha na wao wakajongea mlango na kugonga!
Nani?
Muhudumu!
nimesahahu taulo na sabuni kuwaletea!
Njemba ya kuchomea mageti ikafungua mlango hamadi uso kwa uso na mama Sakina!wakatimba ndani huku baba Sakina akiwa amelala kitandani na kwenye makalio kukiwa na michilizi ya manii !
Mama Sakina alimwambia mumewe NAOMBA TALAKA YANGU!nilizani na mume kumbe nawewe ni mwanamke mwenzangu!
Valangati liliendelea na kufanya mama ntilie na wasukuma matololi wanayoizunguka iyo Gesti kujaaa huku njemba ya kuchomea mageti ikipata upenyo na kutokomea kusikojulikana gizani!
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya habari mpaka sasa Baba Sakina aliporudi nyumbani kautana na begi lake la nguo barazania ameambiwa aondoke amuachie nyumba Mama Sakina kwani nyumba ni ya watoto!
 
Hii hadithi bana!!!
Nani kwa usawa huu ataweka password jina la mtoto? Tena mtu mwenye maovu ya kufichwa...
Yaani aambiwe kuna msg na asigundue kua msg imeshafunguliwa? Mama sakina sijui si alifungua msg na kujibu kabisa!?

Ila hii inatokea sana kwenye jamii, na haikuanza leo wala jana.
 
Picha au video ya tukio zima mbona hakuna.
Tukisema hii ni stoy ya kutunga tutakuwa tumekosea.
 
Hii hadithi bana!!!
Nani kwa usawa huu ataweka password jina la mtoto? Tena mtu mwenye maovu ya kufichwa...
Yaani aambiwe kuna msg na asigundue kua msg imeshafunguliwa? Mama sakina sijui si alifungua msg na kujibu kabisa!?

Ila hii inatokea sana kwenye jamii, na haikuanza leo wala jana.
umemaliza kila kitu, eti akajibu msg ila mume hakuwa na shaka kwa kuwa anajua ana pasiwed huyu jamaa katuona la 3c

hii umekaa ukatunga, majina ya wahusika unataja ila guesti ni siri kwa kuogopa tutauliza watu wa maeneo hayo juu ya kutokea kwa tukio hili na kujua n uongo.
 
Hii hadithi bana!!!
Nani kwa usawa huu ataweka password jina la mtoto? Tena mtu mwenye maovu ya kufichwa...
Yaani aambiwe kuna msg na asigundue kua msg imeshafunguliwa? Mama sakina sijui si alifungua msg na kujibu kabisa!?

Ila hii inatokea sana kwenye jamii, na haikuanza leo wala jana.
Halafu kuhifadhi jina la mume lakini la mke kalitaja... Sasa kahifadhi nini hapo
 
Umewasingizia Wasukuma Hawana Kasumba Hiyo Hao Watakuwa Ni Wanaume Wa Dar
 
Back
Top Bottom