Mashariti ya watafuta uchumba JF

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
236
304
Habari wana JF kwa muda mfupi nimeona watu wakitafuta wachumba hapa JF lakini ninachoshangaa wengi huhitaji watu wenye elimu kubwa hadi Phd.

Tujuzane hivi huwa mnaenda kufungua kampuni huko na faida za kuweka mashariti ya elimu zipi pia tofauti na ndoa zisizozingatia elimu ni zipi.

Faida za vyeti kwenye ndoa ni zipi jamani

thewajibu
 
Si kupata kazi ama?

Maisha ya sasa hivi yalivyo mixer kupata mke mama wa nyumbani ni pasua kichwa
 
Habari wana JF kwa muda mfupi nimeona watu wakitafuta wachumba hapa JF lakini ninachoshangaa wengi huhitaji watu wenye elimu kubwa hadi Phd.

Tujuzane hivi huwa mnaenda kufungua kampuni huko na faida za kuweka mashariti ya elimu zipi pia tofauti na ndoa zisizozingatia elimu ni zipi.

thewajibu
Nani anataka mwanamke goalkeeper kwamfano.
 
Me ka form four leaver katakuja kuntosha ntakaendeleza ...hata ukienda Chicago huwez kuwa na stress...sas wa PhD si utakonda asee
 
Back
Top Bottom