Kunaweza kuwa na raha ya maisha bila mapenzi?

leah2

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
584
1,437
Wandugu naomba kuuliza je kunaweza kuwa na raha ya maisha bila mapenzi?

Binafsi nayapa heshima mapenzi maana bila hayo raha ya maisha ingekuwa kama haipo.

Watu hawajuani lkn wakipendana wanakuwa zaidi ya ndugu na kuanza familia pamoja.

Mapenzi nayapa heshima yake.

Niulize kuna raha zaidi ya mapenzi ktk maisha?
 
...labda kwa baadhi ya watu hili la kuishi bila penzi kwa sababu moja au nyingine linawezekana.

Wandugu naomba kuuliza je kunaweza kuwa na raha ya maisha bila mapenzi?

Binafsi nayapa heshima mapenzi maana bila hayo raha ya maisha ingekuwa kama haipo.

Watu hawajuani lkn wakipendana wanakuwa zaidi ya ndugu na kuanza familia pamoja.

Mapenzi nayapa heshima yake.

Niulize kuna raha zaidi ya mapenzi ktk maisha?
 
Wandugu naomba kuuliza je kunaweza kuwa na raha ya maisha bila mapenzi?

Binafsi nayapa heshima mapenzi maana bila hayo raha ya maisha ingekuwa kama haipo.

Watu hawajuani lkn wakipendana wanakuwa zaidi ya ndugu na kuanza familia pamoja.

Mapenzi nayapa heshima yake.

Niulize kuna raha zaidi ya mapenzi ktk maisha?

Maana ya 'mapenzi' kwa mtazamo wako ni ipi?
 
Penzi mwanzo wa chuki. Raha ya mapenzi ni mnapopenda tu. Mapenzi ndo kisababishi kikuu cha maumivu kwa watu wengi
 
Unazungumzia Mapenzi yapi, mapenzi kwa wazazi? kwa watu wote? Kwa rafiki? Kwa wanyama na ndege unaowafuga? Kwa vitu mbalimbali, kama muziki,chakula fulani n.k? Au Mapenzi kwa ujumla. Upendo ni zaidi ya Oxygen, kwa mfano; usipopenda mahali unapoishi, hautaishi kwa raha. Usipopenda chakula unachokula, hautakula kwa raha, vile vile usipojifunza kupenda ambavyo vinakufaa, utaoona dunia ni sehemu isiyofaa na hautaishi kwa raha.
 
Wandugu naomba kuuliza je kunaweza kuwa na raha ya maisha bila mapenzi?

Binafsi nayapa heshima mapenzi maana bila hayo raha ya maisha ingekuwa kama haipo.

Watu hawajuani lkn wakipendana wanakuwa zaidi ya ndugu na kuanza familia pamoja.

Mapenzi nayapa heshima yake.

Niulize kuna raha zaidi ya mapenzi ktk maisha?
Wewe huijui raha ya heroin au cocaine nadhan
 
Tangu nizaliwe sijui kitu mapenzi, mbona nadunda tu na naenjoy maisha.
 
Back
Top Bottom