jean phillipe beyun
Senior Member
- May 18, 2015
- 142
- 167
Tulipofahamiana kwa mara ya kwanza sikua nimetahiriwa , akanipa sharti kuwa kama sitatahiriwa yy hawezi kuendelea na mimi, nikaamua kuvunja mila yetu nikatahiriwa, nilisumbuka sana na kidonda hadi Muda nilioomba likizo kazini ukaisha bado sijapona, baadae nikapona na kugegeda nimeanza Ingawa naona kama vile nyeti zangu zimepungua kidogo
Sasa huyu Mchumba wangu mpya ambae tunaishi pamoja amekuja na sharti jipya, kila tunapokua tunajuana kitandani linapokuja suala la denda huwa anakwepesha mdomo kwa madai ya kuwa nanuka pombe, eti kaokoka atakua kama vile kaonja pombe, nimejaribu kuswaki kila nikirudi kutoka kwenye pombe lakini bado hataki, sasa wadau mapenzi gani hata denda hamna? Ukizingatia pia hata kunyonyana nyeti hataki
Hataki nimnyonye na wala yy kuninyonya mm jambo ambalo ni ugonjwa wangu mkubwa
Tumepanga kufunga pingu za maisha mwishoni mwa mwaka huu lakini kwa Hali hii itakuaje? Mm pombe siwezi kuacha kirahisi rahisi hivyo, halaf nilizoea winnie alikua akinifanyia vitu vikubwa mno kitandani, na hata pombe yy mwenyewe alikua anakunywa, sielewi ni kwa nn niko huku
Wadau mnadhani nifanyeje?