KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,868
Hivi ikiwa mlikuwa wapenzi na mnafanya biashara ikatokea hamkuelewana mkavunja mahusiano ya kimapenzi na kati yenu mlikuwa mnadaiana pesa,mfano anakudai mlioni kumi 10ml, demu kwakuwa mlikuwa katika mapenzi na wewe una magari nayeye alichukua gari moja kabla ya uhusiano kivunjika kama gari ya matumizi, na gari ina thamani kuliko deni je hapo unafanyeje unampa 10ml na unamdai gari??au?