Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nini hupelekea Wanawake waliotalikiwa na Waume zao au kugombana tu na Wapenzi wao wa Kiume huwa ni rahisi mno Kutongozeka? Nawasilisha.
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Habirin Wakuu.. Naandika Uzi Huu Kutokana na tabia ambazo nimeziona kwa wazazi wa kiume wengi hasa huku mikoani.. kiufupi nimekuwa nikikereka sana mambo hayo ni kama ; 1 mzazi kuwa mkali...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna binti nilimuomba awe Girlfriend wangu akakataa, alidai hataki mahusiano ya kawaida labda kama ni uchumba. Nilimjibu siko tayari. Niliamua kumpotezea, tunaonana mtaani, wakati mwingine...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habarini Wana JF Kwa Heshima kabisa nimeamua kuanzisha uzi huu ili tujaribu kufahamisha love quotes ambazo wana jamvi tuna zi appreciate.. Mm Naanza Na Quote Hii "To love is nothing and to be...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
2 Reactions
84 Replies
8K Views
Jana mpenzi wangu aliniita kuchukua hela niliyomkopesha. Ilikuwa tsh 100,000. Nilikaa kidogo, baada ya kunipa hio hela nikaondoka. Baadae jioni, masaa ma4 hivi akanipikia kuwa ameibiwa hela na...
0 Reactions
91 Replies
7K Views
Habari zenu wadau! Ningependa kufahamu baadhi ya wanawake kuwa na tabia ya kutowaambia watoto wao baba yao ni nani. Hii ninaieleza kwa muktadha wa kwamba inatokea umezaa na mwanamke lakini ikawa...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Habar ya jion wakuu,ni takriban mwezi umepita,baada ya kufahamiana na huyu binti kwenye mtandao wa kijamii (Facebook). Cha ajabu tumejikuta tumeanzisha mahusiano na hatimaye kubadilishana namba...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani nyie wanawake mliokua kwenye ndoa (MKE/WAKE) mnakua na matatizo gani kuwanyima wenza wenu papuchi? Mtu amehangaika za kuibia nje we toka ujana wake na kadhalika hasa kamua kutulia kaja...
2 Reactions
59 Replies
18K Views
*KWA MNAOTARAJIWA KUOLEWA NA MLIO OLEWA* Yeremia 31:22-"Hata lini utatanga-tanga, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanaume". Fuata au fanya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndoa nyingi zipo mashakani kwa sababu manung'uniko, hasira, kutovumiliana,kufoka,kutukanana,kutoaminiana, kuwaziana mabaya badala ya mazuri, kujikweza kwa majivuno yasiyo na maana, kunyimana...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Nahitaji mwenza ambaye atakuwa tayari kufunga ndoa soon. Mwanamke ninayependa awe mke wangu awe na sifa zifuatazo. Mwaminifu Mkweli Miaka 26-34 Mwenye shughuli ya kipato halali Mkristo kama...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Natural tingz: 1.Nywele halisi zibanwe nyuma tu. 2.No full time makeups, ngozi iwe free. 3.Chura awepo proportional to thighs. 4.Akiwa na mdomo mdogo its A+ wenye lips nene kidogo. 5.Kapua...
7 Reactions
86 Replies
8K Views
Hivi, hawa warembo ambao wanatafuta wachumba humu Jf mbona mimi nikiwatafuta hawarespond? Mimi ninahitaji kuwa na mwanamke, lakini hawa hawako serious!! Au wanafanya utani tu? Kwa mwanamke aliye...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye KAMILI maana tupo aina tofauti tofauti,,. 1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty. 2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mada tajwa yahusika Nlikua naskia skia Tu ukipenda kugegeda kila Siku unakonda na kupungua uzito Hii theory nimeamini sasa baada ya kupungua uzito kama kilo 3 hivi Nimefululiza kumgegeda mchepuko...
5 Reactions
56 Replies
7K Views
Nilikua na demu ameniwacha leo ikiwa inafika wiki ya pili sasa, kwa bahat mbaya nilikua na mzigo wake wa passpot aliusahau kwangu leo nikaamua kumpelekea Wakati tunakutana kwa ajili ya kumpa huo...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
This is one of the best post I've read about *MEN* By Myles Munroe......On Marriage & Relationships Ladies and Gentlemen, This post is not for everybody. It's for people who wish to get...
4 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari waungwana, Naomba kujua hivi kuna ulazima wowote wakwenda kwa wazazi kuwaomba mahari ili ukaoe? Ilihali wamekusomesha hadi kazi wakakutafutia ukapata.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimekuwa msomaji wa uzi nyingi sana humu JamiiForums hasa MMU. Twende kwenye hoja; Nimegundua kuwa ktk ndoa kumekuwa na kitu 'mazoea' yani mfano ni tofauti kabisa na kipindi cha...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…