Mwanamke kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

AHMARDZ

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
790
677
Jamani nyie wanawake mliokua kwenye ndoa (MKE/WAKE) mnakua na matatizo gani kuwanyima wenza wenu papuchi?

Mtu amehangaika za kuibia nje we toka ujana wake na kadhalika hasa kamua kutulia kaja kakuweka ndani mwenywe mtulie awe ana kula papuchi kwako tuh alafu unaliwekea pozi kwanini? Okay! Sitaki kuelezea saana nyie wana ndoa mtakua mnaelewa tuh naoma tu jadili kuna njia au dawa ya kumpa mke ali awe ana kupa papuchi kama zamani mlivyo kua wapya.

kukosa-hamu-ya-mapenzi.png
kukosa-nyege.png
 
labda kapata monopose basi kama ni hivyo uwe unambembeleza aatakupa
wala mbichi kabisa aise 30, ila kupewa ufanye kazi ya nguvu kupewa yani vituko na mtu ana lala na chupi na wewe asa pata picha mwenza unakuaje upande wapili.
 
Kupewa papuchi ni moja kati ya matendo mengi ya ndoa, maana baada ya ndoa kufungwa matendo yote yanayoendelea kuanzia hapo ni ya ndoa. Acha kulalamika ukinyimwa tendo moja la ndoa ongeza nguvu kwenye matendo mengine. WANAUME WA MIKOANI MNAMATATIZO SANA
 
Ukiisha kuona hilo linatokea jua kuwa mambo iko tight. Usishindane naye, tafuta tu kipoozeo na weka antena nyingi nje ya gate. Ukimnasa nyendo zake, piga mzigo chini fasta. Wewe kula nje kwa sana hadi ajilete mwenyewe nawe umtikisie
 
duh basi pole mbake tu ndiyo dawa
kubaka na weza hata sheria ina ruhusu ila ki binadamu sio, ila nataka kusikia upande wenu nyie wadau maana ni google saana naona siko peke yangu wanawake wengi kwenye ndoa wanakua hivyo ati, na ndo source ya watu kuchepuka.
 
Jamani nyie wanawake mlio kua kwenye ndoa (MMKEE/WAKEE) mnakua na mtatizo gani kuwanyima wenza wenu papuchiiiii? mtu ameangaika za kuibia njee wee toka ujana wake na kadhalika asa kamua kutulia kaja kakuweka ndani mwenywe mtulie awe ana kula papuchi kwako tuh alafu una liwekea ppozi kwanini?

OkAY! sitaki kuelezea saana nyie wana ndoa mtakua mnaelewa tuh naoma tu jadiri kuna njia au dawa ya kumpa mke ali awe ana kupa papuchi kama zamani mlivyo kua wapyaaaa.

View attachment 511449 View attachment 511450
Dawa yake ni moja tuu.... Asali, mdalasini na tangawizi.....!!!
 
Apunguze kula red meat,ale zaidi mboga mboga hasa maboga,kula matunda kabla ya kulala,..mletee chocolate zenye cocoa zaid,mwandae kisaikologia kama kumnunulia wine mnye kabla ya kulala,..apunguze matumiz ya dawa za mpango wa uzazi zinapunguza hamu,...afanye mazoez hasa pelvic stretches,....kula sana pilipili mbichi hasa kweny mboga,.,
 
Apunguze kula red meat,ale zaidi mboga mboga hasa maboga,kula matunda kabla ya kulala,..mletee chocolate zenye cocoa zaid,mwandae kisaikologia kama kumnunulia wine mnye kabla ya kulala,..apunguze matumiz ya dawa za mpango wa uzazi zinapunguza hamu,...afanye mazoez hasa pelvic stretches,....kula sana pilipili mbichi hasa kweny mboga,.,
pombe du sie waumini, chocolate sawa ila mie nataka ya faster hakuna dawa yani kama kitonye hivi una muekea kwa chai au juice, maana izo naona ndefu saana.
 
Back
Top Bottom